New Arctic Sea - Omega 3

Kaie

Member
Joined
Oct 9, 2016
Posts
48
Reaction score
24
Arctic sea imetokana na mafuta ya samaki anayepatikana kwenye kina kirefu cha bahari ya Arctic anayetoa Omega 3 (750mg) na mafuta ya mizaituni inayotoa Omega 9 (250mg).

FAIDA:
01. Husaidia katika ukuaji wa ubongo pamoja na mfumo wa fahamu,
02. Hurekebisha Matatizo ya hormones,
03. Inasaidia Afya ya ngozi,
04. Huongeza nguvu na kinga ya mwili,
05. Huondoa cholesterol, na kusaidia kuzuia matatizo ya moyo.
06. Kuzuia arthritis, Strock au kupooza
07. Guzuia kukua kwa uvimbe,
08. Husaidia Macho kuona vizuri,
09. Inarudisha kumbukumbu( Memmory recover)
10. Misuli kukosa nguvu,
11. Huzuia kansa ya ziwa, prostate.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…