nawe utakuja kuwa hivyohivyo!Nadhani wamama wote hua wanafanana sijui,.. Maana Mama angu mkiwa kwenye mjadala akiongea chochote kile hata akikuuliza ukimjibu anasema unadharau unajiona umekua,. Na ukikaa kimya anasema una kiburi asa sijui hua anataka nini..
Chakuzingatia hapo epuka mijadala na mzazi wako kama unaona ni mtu wa kuhifadhi vitu rohoni.
Siamini Kakanawe utakuja kuwa hivyohivyo!
it's not your reply!Siamini Kaka
Shida ya wamama inakuwaga hii, they are always right. Yaani hata kama yeye ndio kakosea na uka mu expose, anaona umemdharauHabarini wakuu,
Nimekuwa nikisense silent treatment from my mum nashindwa kuelewa nimekosea wapi...
Mmh, sidhani😬😂nawe utakuja kuwa hivyohivyo!
Kasheshe kizunguuuuuuuuu!! Tulioishia la 4 tumetoka kapa asee