Network unlock code ya samsung J7

Olmost

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2014
Posts
340
Reaction score
448
Habari wakuu, jamani nawezaje kupata network unlock code ya Samsung j7?
 
So hiyo tool naifanyaje, au ndo naingiza hapo?
 
Njia zipo mbili

Ya kwanza ni direct unlock lazima uwe na tool na simu iwe rooted

Ya pili ni ya kuingiza unlock code moja kwa moja
 
Njia zipo mbili

Ya kwanza ni direct unlock lazima uwe na tool na simu iwe rooted

Ya pili ni ya kuingiza unlock code moja kwa moja
Hiyo ya kuingiza unlock code moja kwa moja
 
Simu imenunuliwa nje ya Africa, code inauzwa bei gani?
Bei inategemea na imelokiwa mtandao gani
Hivyo lazma ujue umelokiwa mtandao gani ndio utajua Bei

Otherwise utumie njia ya kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…