Huyu Netanyau ni mwendawazimu, mbona wao wana nuke bombs, lakini hakuna taifa lolote, lililowaeleza habari za hizo 20 percent, hiyo ni tabia ya uonga, utalisikia linasema kwa kulia lia 'INTERNATIONAL COMMUNITY', wao si taifa lenye 'nguvu', wakapigane sasa....