Mimi ni graduate ila si engineer ingawa nimefanya mambo ya construction pale UCLAS. Nimesajili kampuni ya contractors BREla sasa nataka kwenda CRB kusajili.
Tunatafuta registered engineer civil engineer ambaye we can partner katika kukamilisha usajili na kukubaliana nae asilimia ya kazi tutakazo kua tunapata.