Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,682
- 107,122
Gharama ya ku-revamp Air Tanzania so far ni zaidi ya $1 bln.Typing error, Nilitaka kuandika uwanja mkubwa wa mpira, sio Moira. Kuhusu ununuzi wa ndege saba, gharama yake ni zaidi ya $600M, pesa ambayo iliwashinda kuipata ikawalazimu kwa aibu kubwa kufuta ujenzi wa Greenfield terminal, ni pesa nyingi kuliko inayohitajika kukamilisha Galana project, miradi bora kabisa kati ya miradi yote ambayo serikali ya Kenya iliwahi kuanzisha.
Usihorodheshe idadi ya VIWANJA vya ndege, kwasababu nikihorodhesha idadi ya viwanjwa vyenye ukubwa huo wa Isiolo, huku vinazidi kumi.
Ujenzi wa barabara huku kwetu ni kitu tusichofikiria, kuna ujenzi wa Dar - Chaplinze Super high way unaendelea kwa kasi sana, huo wa Mombasa Nairobi bado ni hadithi, wakati wowote unaweza kufutwa kama Greenfield terminal ulivyofutiliwa mbali kutokana na ukosefu wa pesa.
Huwa tunayatoa kwa mabwana zenu mnaowasujudia zaidi ya Mungu, upper hill, westleigh, ....[emoji23][emoji23]bagamoyo ni ya kupagawisha. Pagawamoyo. Haya majina wabongo hutoa wapi jamani? Ucheshi mwing
ππππmengine haya.Hilo jina Bagamoyo huwa lina laana fulani, nafikiri itabidi walibadilishe kwanza ndio waje kufanikisha chochote huko, lilitokana na neno bwaga moyo, hapo ndipo Watanzania walikua wanachukuliwa na waarabu, akifika hapo basi hakuna kurudi tena. Jameni hawa waliteswa sana na waarabu halafu ukizingatia hao hao waarabu ndio wanamiliki uchumi wao leo.
Pia 20km Ubungo Kibaha highway (6 lanes)Tatizo lako wewe unachanganya kati ya project za serikali na Private projects ambapo serikali inabaki kuwa msimamizi na kutoka guarantee pekee.
Mimi projects zote nilizokutajia, ni ile ambayo serikali ya Kenya inahusika na iliahidi kutafuta pesa na kuitekeleza, tofauti na Bagamoyo port, baada ya serikali kukaa chini iliamua kujitoa na kuachia private sector pekee, serikali ya Tanzania zaidi ya kuwahimiza hawa private investors kujenga, haina mamlaka ya kusukuma ujenzi huo ufanyike haraka kama inavyoharakisha miradi ya serikali kama;
1)Ununuzi wa ndege za kisasa
2)Ujenzi wa uwanja wa Ndege wa JKNIA
3)Ujenzi wa radar 4 kubwa
4)Ujenzi wa SGR
5)Ujenzi wa BRT phase 2&3
6)Upanuzi wa Dar port
7)Ujenzi wa Stieglers hydroelectric dam
8)Upanuzi wa VIWANJA vya ndege
9)Ujenzi wa Ubungo interchange
10)Ujenzi wa uwanja mkubwa wa Moira kuliko vyote Africa ukiacha Soccer city
Hii ndiyo miradi ya serikali, na yote inaenda kwa kasi ya ajabu. Tafadhali horodhesha miradi ya serikali ya Kenya inayotekelezwa kwa sasa.
Muulize mzunguWestleigh is in which district in bongo?
Typing error, Nilitaka kuandika uwanja mkubwa wa mpira, sio Moira. Kuhusu ununuzi wa ndege saba, gharama yake ni zaidi ya $600M, pesa ambayo iliwashinda kuipata ikawalazimu kwa aibu kubwa kufuta ujenzi wa Greenfield terminal, ni pesa nyingi kuliko inayohitajika kukamilisha Galana project, miradi bora kabisa kati ya miradi yote ambayo serikali ya Kenya iliwahi kuanzisha.
Usihorodheshe idadi ya VIWANJA vya ndege, kwasababu nikihorodhesha idadi ya viwanjwa vyenye ukubwa huo wa Isiolo, huku vinazidi kumi.
Ujenzi wa barabara huku kwetu ni kitu tusichofikiria, kuna ujenzi wa Dar - Chaplinze Super high way unaendelea kwa kasi sana, huo wa Mombasa Nairobi bado ni hadithi, wakati wowote unaweza kufutwa kama Greenfield terminal ulivyofutiliwa mbali kutokana na ukosefu wa pesa.
Ebu tuonyeshe picha kama hii.......
Video inaonyesha oil tankers ziki-dock at Tanga n Mtwara! Show us that happening at Lamu over 5 years after being launched!Ebu tuonyeshe picha kama hii.......
View attachment 910322
Please, show me the infrastructure you constructed, not tankers. Those Tankers do not belong to the Tanzanian government.Video inaonyesha oil tankers ziki-dock at Tanga n Mtwara! Show us that happening at Lamu over 5 years after being launched!
View attachment 910334View attachment 910334d
I gave u motion pictures otherwise u r stupid enough to argue on kind of image!Please, show me the infrastructure you constructed, not tankers. Those Tankers do not belong to the Tanzanian government.
Actually 6 years since Lamu port was launched!Please, show me the infrastructure you constructed, not tankers. Those Tankers do not belong to the Tanzanian government.
Usilie sana weweππππKulia sio kinga ya matatizo ya KenyaπππEbu tuonyeshe picha kama hii.......
View attachment 910322
Hio ya Mombasa Nairobi ni useless kwa sababu tayari tunayo hio barabara. Pia ni private investment kwa hivyo wazungu ndio watakaojipanga.Typing error, Nilitaka kuandika uwanja mkubwa wa mpira, sio Moira. Kuhusu ununuzi wa ndege saba, gharama yake ni zaidi ya $600M, pesa ambayo iliwashinda kuipata ikawalazimu kwa aibu kubwa kufuta ujenzi wa Greenfield terminal, ni pesa nyingi kuliko inayohitajika kukamilisha Galana project, miradi bora kabisa kati ya miradi yote ambayo serikali ya Kenya iliwahi kuanzisha.
Usihorodheshe idadi ya VIWANJA vya ndege, kwasababu nikihorodhesha idadi ya viwanjwa vyenye ukubwa huo wa Isiolo, huku vinazidi kumi.
Ujenzi wa barabara huku kwetu ni kitu tusichofikiria, kuna ujenzi wa Dar - Chaplinze Super high way unaendelea kwa kasi sana, huo wa Mombasa Nairobi bado ni hadithi, wakati wowote unaweza kufutwa kama Greenfield terminal ulivyofutiliwa mbali kutokana na ukosefu wa pesa.
Sisi tuna 10- lanes 50 km Thika superhighway, the best road in East Africa opened in 2013 by mzee Kibaki. Nyinyi endeleeni kufurahia 6--lane 20 km roads.Pia 20km Ubungo Kibaha highway (6 lanes)
Hata Jogoo Road ni 6 lane, Enterprise Road (before expansion), Lusaka Road, Kenyatta Avenue, Waiyaki Way, Mombasa Road (before expansion) etc - Yaani 6 lane ni nyingi hata siwezi hesabu. Hata Kakamega sahii iko na 6 lane.Sisi tuna 10- lanes 50 km Thika superhighway, the best road in East Africa opened in 2013 by mzee Kibaki. Nyinyi endeleeni kufurahia 6--lane 20 km roads.
honestly what nonsense is this?? hii hata haiko ligi ya kisumu port. hapa labda mcheze na ramp ya uhuru park. tafadhali ondoa hizi inzi kwa nyama.Usilie sana weweππππKulia sio kinga ya matatizo ya KenyaπππView attachment 910348View attachment 910349View attachment 910350View attachment 910353View attachment 910354
Tuta,iki,tuuta ccm janga la ldc[emoji23][emoji23]
Galana irrigation project swallowed Billion of Shillings, it remains white elephant. Greenfield terminal its cornerstone was laid by Uhuru Kenya, I remember that day the whole Kenya was vibrating, I don't know what happened.
Laptop per child, God knows. Crude oil pipeline to Mombasa from Turkana, we are waiting for Jesus to attend its inauguration ceremony. 5 big stadia are waiting for virgin Maria to get another child. Nairobi light train is about to start working after its construction to reach 98%.[/QUOTE
Bana, haya yote ulioyataja hayana umuhimu sana kwao kama kuandaa national holiday ya KQ kwenda Marekani. πππ
Hata Jogoo Road ni 6 lane, Enterprise Road (before expansion), Lusaka Road, Kenyatta Avenue, Waiyaki Way, Mombasa Road (before expansion) etc - Yaani 6 lane ni nyingi hata siwezi hesabu. Hata Kakamega sahii iko na 6 lane.