Hata makocha?Hakuna mchezaji mkubwa kuliko timu. Mimi sio shabiki wa hio timu na wala sipo hapa kutoa utetezi ila kuna mifano mikubwa tunaiona hata huko ulaya mchezaji akiondoka kwa kufosi safari yake ya soka hua inakua ngumu.
Cheki mane coutinho eden hazard hao ni wachache
Basi asilalamike kwa yanayomkuta na hii haihusiani na ndumba hata kidogiHata makocha?
Sasa unataka mchezaji acheze kwa mapenzi wakati anatafuta kipato?
Sisi ndio tunashangaa.Kocha anapewa sofa za ubobevu,je huu ubobevu unayeyukia wapi akihama timu?Kama si ndumba ni nini?Basi asilalamike kwa yanayomkuta na hii haihusiani na ndumba hata kidogi
Kabla ya hapo ilikuwaje?Sisi ndio tunashangaa.Kocha anapewa sofa za ubobevu,je huu ubobevu unayeyukia wapi akihama timu?Kama si ndumba ni nini?
Ni yanga😀😀 mbona ipo waziKuwa bora kwenye timu fulani sio kigezo cha kuendelea kubaki kuwa bora hata ukibaki.
Ligi zimetofautiana mengi sana hasa uwezo wa wachezaji. Sijui n timu gani unaizungumzia hapa kwa kificho weka mambo hadharani mpira ni mchezo wa wazi
Mimi nilidhani anaongelea wakina kisinda feisal ajibu na kocha nabiClatous Chama to Berkane, akafeli akarudi, Miquissone to Al Ahly akashindwa akarudi.. nadhan unawaongelea hao au..
Bado hawajasema, kama ni nabi na mayele basi bado kama ni mpenda soka ana safari ndefu sana.Ni yanga😀😀 mbona ipo wazi
Na nyie logeni kwenuNi nadra sana ukifanya vizuri kwenye hii timu kisha ukaondoka bado wanakuhitaji ukatoboa unakokwenda.Ndio maana wana jeuri ya kukutunia muda wowote unapodai haki yako.
Upo uwezekano kuwa huenda kuna nguvu ya ndumba huwa nyuma ya uchezaji bora wa wachezaji wao na makocha wao.
Angalia makocha wao waliofanya vizuri wanapoenda timu nyingine.Wengine walipachikwa majina ya ubobevu eti tu kwa kudhaniwa wana uwezo mkubwa sana,lakini huko waliko sasa,huo ubobevu umeyeyuka.
Wengine walipata ufungaji bora Afrika lakini sasa huko waliko wanasikitisha.
Kwa nyie mliopo sasa kwenye hii timu,msianze kuzingua maana huo ndio utakuwa mwisho wenu.Hamuwezi kwenda popote hadi viwango vyenu vishuke.Ondoeni ndoto za kwenda ulaya
Umeongea pointClatous Chama to Berkane, akafeli akarudi, Miquissone to Al Ahly akashindwa akarudi.. nadhan unawaongelea hao au..
Anaiongeleo timu yake ya SimbaKuwa bora kwenye timu fulani sio kigezo cha kuendelea kubaki kuwa bora hata ukibaki.
Ligi zimetofautiana mengi sana hasa uwezo wa wachezaji. Sijui n timu gani unaizungumzia hapa kwa kificho weka mambo hadharani mpira ni mchezo wa wazi
Kwa kocha gani aliewahi kufanya makubwa?Anaiongeleo timu yake ya Simba
Aahaaaa,nilikuwa namdhihaki huyo mleta madaKwa kocha gani aliewahi kufanya makubwa?