Hakika ningeukwaa ndugu na hivi huwa sina kawaida ya kula kwa mfukoHa ha ha ungeukwaaa
Inbreeding is the production of offspring from the mating or breeding of individuals or organisms that are closely related genetically. By analogy, the term is used in human reproduction, but more commonly refers to the genetic disorders and other consequences that may arise from expression of deleterious recessive traits resulting from incestuous sexual relationships and consanguinity.Dhambi kwa evidence gan...Mana kuna baadh ya kabila watu wanaoana binamu.
Dhambi labda kwa ndugu wa damu hata mtoto wa mama mdogo sio dhambi
Dhambi kwa evidence gan...Mana kuna baadh ya kabila watu wanaoana binamu.
Dhambi labda kwa ndugu wa damu hata mtoto wa mama mdogo sio dhambi
Mshukuru sana Mungu kukuepusha na kifo ......Nilishamtoa-ga nduki mtoto wa shangazi kwa mambo ya kijinga kama hayo, mwaka mmoja tu mbeleni nakuja kujua kumbe ni mwathika wa ukimwi
Dhambi anaihukumu Mungu, je Mungu anahitaji evidence yoyote toka kwako au shahidi!?Dhambi kwa evidence gan...Mana kuna baadh ya kabila watu wanaoana binamu.
Dhambi labda kwa ndugu wa damu hata mtoto wa mama mdogo sio dhambi
ndugu ni uliechangia nae mzazi,wengine ni jamaa.jifunze kiswahili kwanza,pili mtu hufata zaidi ya 70% ya dna kwa baba yake,hiyo inamaanisha wewe na mtoto wa mjomba/shangazi mnatofautiana sana dnaDhambi anaihukumu Mungu, je Mungu anahitaji evidence yoyote toka kwako au shahidi!?
Mtoto wa mama mdogo sio dhambi? Mkuu ukishaambiwa huyu ni ndugu jua ni damu moja, ndio hamjachangia tumbo ila chanzo chenu ni kimoja yaani kwa mababu zenu na bibi zenu hivyo damu ni moja. Acha kujipotosha mkuu na kupotosha huu umma