Ndoto

Jonash

Senior Member
Joined
Dec 3, 2012
Posts
164
Reaction score
37
Habari,

Hivi karibuni nimekua nikiota mara nyingi jambo moja ambalo limeshapita...huwa nipo shule nasoma,either advanced au ordinary levels wakati nimeshamaliza...hii hali imekua ikinitokea mara nyingi sana mpaka najiuliza kwanini naota ndoto ya aina moja mara nyingi? Mwenye kuweza kufahamu chochote anisaidie.
Nawasilisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…