nkungwe123
JF-Expert Member
- Mar 17, 2014
- 444
- 95
Zamani ndoa zinadumu hadi kifo...siku hizi unaoa leo jumatatu ikifika Ijumaa mshaachana
Elimu ya zaman hakukuwa na Div6 na sasa zipo za kumwagaa..
watoto walipenda shule sahz wanapenda viduku na bongofleva
watoto walikua na heshima lakini sasa hawana bahadhi wana watukana mpaka wazazi wao!
Zamani mzee alikuwa mzee kweli lakini siku hizi uzee mwisho CHALINZE
Zaman kulikua na bikira,siku hizi hakuna.hiyo ndo tofauti...loading error......
Zamani bikra ilikuwa kitu cha kawaida zipo nyingi siku hizi bikra zimepotea kama pakti ya sukari baharini
Zamani wanaume walikuwa wakihudumia familia zao bila mchango wa wake zao. Lkn sasa wanatafuta wanawake wenye kazi ili wapige pasu ktk kutoa matumizi ya familia.

Update me madam, ila nadhani zamani mwanaume alikuwa anaoa wake wengi na anakuwa na watoto wengi, yeye kazi yake ilikuwa kuwagawia mashamba then anakaa kitako kusubiri wake zake wamlishe na kila mke kutunza watoto wake, according to me siku hizi wanaume wamekuwa more responsible, isipokuwa watoto wa mama wachache wanaofugwa, which is an insult to my manhood.