Ndoa yangu hatarini kuvunjika

nyumba kubwa lakini mimi sikutaja jinsia, bali nimezungumzia wanandoa kiw aujumla wao, awe ni mwanamke au mwanaume..........................
 
Last edited by a moderator:
Huyo mke wako alilazimishwa na family yake kuolewa na wewe.

Mwanamke ambaye anakupenda time we unaugua yeye ndo anazidi kuwa karibu na wewe.

Pole sana.
 
Dunia kubwa sana hii na ina mambo mengi,nakushauri hama kwa muda hapo nyumbani mkeo asijue upo wapi tafuta tiba tena harafu sikiliza naamini kuwa utapona.Muombe mungu na soma sana zaburi ya 35 kila siku asubuhi na usiku unapolala.
 
Pole sana ndugu,nakushauri uhame hapo nyumbani kwa muda mkeo asijue upo wapi maisha yako yanathamani sana kuliko huyo mkeo.Tafuta tiba tena na jaribu kusoma zaburi 35 kila siku usiku na asubuhi unapo ammka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…