Ndo naingiaa ,, hivooo yaaani

Yule boy 001

Member
Joined
May 19, 2020
Posts
66
Reaction score
51
Watu wangu wa nguvu , kwema lakiniii ..

yah yah it's yo boy YuLEboy 001 ..ndo najoin humu Kati ..

maana ni muda nilkuw nachek info ,za humu ndani ,atlast nmeamua kujiunga nanyi wakulungwaa ..

nahitaji bless zenu ,mwanenu ndo nshafikaa hvooo..
 
We jamaa kwa ulivyo changamka unaweza hata ukamkaribisha mwenyeji.

Nadhani hata kamba ulishakata...........hahahahah

Karibu sana Yule boy 001
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…