Ndio maana wewe wanasema don't try this at home

Mkuu salamander,wwe inaigizwa siyo halisi,ukweli ni upi?...
 
Duuh.. Mtoto hajapasua ikulu ya baba yake kwel hapo..?
 
Mtoto wrestling anaiweza maana anajua target point, hahahahaahaaa.
 
Huyo dogo katumwa na mamake maana nasikia mdingi kiwembe mpaka ananuka k
 
Don't try this at home! Dogo ka-hit pressure point
 
Dogo ndo anajaribu kuprove huo msemo(don't try this at home)
 
Ndio maana wazee wetu,ilikuwa ni marufuku kuchekacheka na watoto nadhani walikuwa wanaogopa kukutwa na haya.

Baba akipumzika kama hivyo hata sebureni hampiti.
 
Halafu mimi niliandika WWE, mods wama-edit wameandika wewe, sijui manaake nini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…