Ndege za kwenda Mtwara kutoka Dar

Dorkan

Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
26
Reaction score
2
Habari za asubuhi wandugu.

Samahani sijui kama niko ktk jukwaa sahihi au la ila ningependa kufahamu ni shirika gani la ndege linafanya safari za Dar-Mtwara? na ni kiasi gani?
 
precision air, kila siku sa 12 unusu asubuh kwenda mtwara, fare 205$
 
Byakazoba unaweza kunisaidia contact zao
 
Mwaka jana nilienda mtwara kwa atc,bei yake ni cheap kuliko precision
 
Precision return tickets = 590,000/=

Air Tanzania return tickets = 260,000/=
 
tulienjoy enzi za 540 elf99 precision pandeni tu ntapanda buti la zungu nikitoka saa kumi na mbili saa saba niko dar sina habarii
 
Nipande ndege! Samaki wa Nangurukuru nimuachie nani? Samaki nofunofu bei muafaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…