figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,895
Ahirisha kama una hofu.Ndege ikipoteza tu mawasiliano ni msiba, Mungu awasaidie. Halafu nina safari next week kutumia usafiri huu, da! Mungu nilinde
Ahairishe wakati keshakula Perdiem. Hajipendi.Ahirisha kama una hofu.
Hiyo nchi iko wap
Una sura ya kutisha Sana mkuu Nadhani hata watoto wako wanakuogopaunaweza kuta imetekwa hyo
Hata miye mkuu, eti kisa tu wana asili ya India, nawashangaa India badala ya kuwasaidia wamekaa kimya tuKwa myanmar naona bado nataka wapotee wote nchi nzima, kwa dhulma wanazofanyiwa warohingya.