Kama mtu una mil 2 au 1 hupati kazi kama mnataka kuhakikisha waliopata hizo nafasi waje hapa kutoa ushuhuda kama watasema ukweli? Ila ukwel ndo huo kama una mil 2 basi kaa ukijua unaenda kupoteza muda.me nawafaham vijana watano wapo makao makuu pale wao wameingia wote kwa mil 13 huo ulikuwa mchango wa ndugu,marafiki,nk sasa we unataka uajiriwe bure sahau tena labla imani Itakuponya