and 998 others JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 28,301 Reaction score 39,837 Sep 23, 2015 #1 Najiuliza tu kwamba serikali ijayo itaanzisha viwanda kila kona je mgao wa umeme utadhibitiwa vipi? Hapa mwanza kila siku ni mgao wa masaa 12 mpaka 16 khivyo viwanda vitatumia mafuta ya taa?
Najiuliza tu kwamba serikali ijayo itaanzisha viwanda kila kona je mgao wa umeme utadhibitiwa vipi? Hapa mwanza kila siku ni mgao wa masaa 12 mpaka 16 khivyo viwanda vitatumia mafuta ya taa?
TeamLowassa JF-Expert Member Joined Nov 30, 2013 Posts 1,495 Reaction score 937 Sep 23, 2015 #2 CCM huwa hawajielewi hawajui tatizo la nchi hii!
SSH2025_2030 JF-Expert Member Joined Jul 9, 2012 Posts 9,661 Reaction score 9,805 Sep 23, 2015 #3 Inasikitisha mno kwa nchi kama Kenya hawana mgao lakin TZ tunaendeleza mgao utafikiri upo kwenye ILANI YA CHAMA.
Inasikitisha mno kwa nchi kama Kenya hawana mgao lakin TZ tunaendeleza mgao utafikiri upo kwenye ILANI YA CHAMA.
A Andrew123 JF-Expert Member Joined Jun 2, 2012 Posts 8,405 Reaction score 11,227 Sep 23, 2015 #4 Viwanda vimeuliwa sasa vinaenda kufufuliwa sio? Basi sawa!
Sabuufaa da ferrous Member Joined Sep 20, 2015 Posts 7 Reaction score 0 Sep 23, 2015 #5 Yani Umeme ndo majanga mpaka kero
mikatabafeki JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 12,771 Reaction score 4,656 Sep 23, 2015 #6 oooooooooooohhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh ni ile ileeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
and 998 others JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 28,301 Reaction score 39,837 Sep 23, 2015 Thread starter #7 Labda alimaanisha Viwanda vya UTAFITI.
Dr.Mo JF-Expert Member Joined Mar 28, 2012 Posts 3,809 Reaction score 1,656 Sep 23, 2015 #8 Ila yule mama anadanganya wazi wazi dah
Richolic JF-Expert Member Joined Jul 2, 2015 Posts 578 Reaction score 240 Sep 23, 2015 #9 Hapo ssa viwanda vingi bila chanzo cha uhakika cha nishati
and 998 others JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 28,301 Reaction score 39,837 Sep 28, 2015 Thread starter #10 ni hatari sana kutoa kauli za jumla jumla bila kufikiria gharama/utelekzaji utakuaje
and 998 others JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 28,301 Reaction score 39,837 Oct 16, 2015 Thread starter #11 sisi naona tujikite kwenye UGANGA WA KIENYEJI na HABARI ZA UDAKU mengine hayo tuwaachie WAKENYA na WANAIJA
sisi naona tujikite kwenye UGANGA WA KIENYEJI na HABARI ZA UDAKU mengine hayo tuwaachie WAKENYA na WANAIJA
and 998 others JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 28,301 Reaction score 39,837 Oct 17, 2015 Thread starter #12 Hivi kama nchi tumenufaika vipi na ile fursa ya wamarekani ya AGOA