Mbona kama jamii ya wafugaji?
Alafu mbona kama picha lilitengenezwa vile, hili darasa na umri wa wanafunzi, clip bord na vitu kibao vya kuegesha?
Halafu darasa kama hili unaanzaje kufundisha hesabu wakati elimu ya kujisafi mwili bado, Mbuzi Mzee angalia huo mtaala unaotumia kufundishia?