Hata uwe na mbinu ya Amani unakwepa vurugu kwa Kila namna kwakua tu ni chama cha upinzani ukifikia hatua ya kuteka wanachama wengi na kutishia uwepo wa CCM basi balaa zitaanza kuandama chama chenu, tatizo la Tanzania ni CCM!! Nccr Mageuzi sasa haina matukio mengi kwakua haina madhara kwa CCM. Vurugu nyingi za chadema na CUF chanzo hua ni CCM na mauaji mengi wanayaratibu CCM,.. Anayekataa akatae tu ila huo ndio ukweli!!