Nimeikuta hii pahala, inatoka kwa shabiki Trail Blazers;
"I dislike the Warriors for so many reasons but you can not hate on their chemistry and the way they play ball. So amazing!"
Bado naendelea kumtafuta mtu aniambie kwa nini hasa haipendi hii timu! Huyo hapo juu anasema tu haipendi kwa sababu nyingi tu ingawa hazitaji. Naomba msaada...
Nzi, Raimundo karibuni.
Hahah...Lakini Humchukii Lebron ambaye amedominate tangu aingie NBA.I don't get it actually. ..Mimi siipendi GSW kwa sababu inashinda mara kwa mara, so kufungwa kwao hata mara moja mi nafurahi tu.
Kama nilivyokuwa siipendi Man U ya mwaka 1998/1999, Barcelona, Arsenal ya kina Thiery Henry; kuna thrilling feeling naipata pale timu ngumu kufungwa inapofungwa na nakuwa nawapa credits underdogs wanaosumbua wakubwa.
Imagine washabiki wa ligi ya EPL walivyofurahi Leicester kuchukua ubingwa, basi hiyo ndo sababu kuu, ila hasa hasa inasababishwa na washabiki wa timu husika kujigamba sana.
Hahah...Lakini Humchukii Lebron ambaye amedominate tangu aingie NBA.I don't get it actually. ..
Am sure same reason you love LBJ is the same reason you hate GSW..."Domination"..
Nice day...
The day you see me panic, know things are bad, really bad, and there's no comeback. But with their kind of play I pity teams they will be meeting on their way to defending their title. Believe it or not, the trophy is already in the bag and you can take that to the bank. Another ring for Curry please!It was hard to predict... We had rough three quarters but man, those last 12 minutes have been pain in a** to PB..
The feeling is mutual, bruv!The day you see me panic, know things are bad, really bad, and there's no comeback. But with their kind of play I pity teams they will be meeting on their way to defending their title. Believe it or not, the trophy is already in the bag and you can take that to the bank. Another ring for Curry please!
The day you see me panic, know things are bad, really bad, and there's no comeback. But with their kind of play I pity teams they will be meeting on their way to defending their title. Believe it or not, the trophy is already in the bag and you can take that to the bank. Another ring for Curry please!
I just don't watch games buddy, I read them.The feeling is mutual, bruv!
There are some things you should never wish for, you just might get them. If there's one team I'd be very happy to meet in the finals, it is the CAVs...itakuwa ni sawa na kumsukuma mlevi. Incidentally have they completely recovered from the last dose? I bet they haven't and that's just too bad 'cause we wouldn't want to overdose them, would we? But then if you insist that's exactly what you will get, that is if you still have any strength left after wrestling your way to the finals...pity pity pity!I like that confidence.
I really really hope it is you we are meeting so that we revenge.
I've a feeling that whenever I panic and lose hope, the boys get into the shape and finish it strong.. So It's kinda my thingThe day you see me panic, know things are bad, really bad, and there's no comeback. But with their kind of play I pity teams they will be meeting on their way to defending their title. Believe it or not, the trophy is already in the bag and you can take that to the bank. Another ring for Curry please!
U can't even pass it from Miami sasa sijui Warriors mtawaonea wapi..I like that confidence.
I really really hope it is you we are meeting so that we revenge.
You know what? This is one fact guys like Raimundo and Nzi either find it hard to swallow or pretend don't matter...well here goes;U can't even pass it from Miami sasa sijui Warriors mtawaonea wapi..
Wade will expose the King really bad man.. Remember Wade gave the King two rings..
Ni kweli, OKC wanaipa taabu sana Warriors na si CAVs wala Spurs. Hawa ni mboga tu kwa Warriors.Steph Curry said:Mimi honestly katika timu ambayo staki kukutana nayo kwenye hizi series ni Thunder.. Hawa jamaa tutawapiga ila watatupa shida.. Spurs na Cavs hahahaha easy win.. EASY
Naona bado unakomaa na historia za regular season!You know what? This is one fact guys like Raimundo and Nzi either find it hard to swallow or pretend don't matter...well here goes;
The 5 teams that have lost to the Warriors this season by big big margins (over 30 to be exact);
Only one team beat the Warriors by over 30 and that is the Trail Blazers who are now trailing the GSW 0-2 in the playoffs.
- 39 - Lakers......136-97
- 36 - Knicks......121-85
- 35 - Clippers...130-95
- 34 - CAVS......132-98
- 30 - Spurs......120-90
Ni kweli, OKC wanaipa taabu sana Warriors na si CAVs wala Spurs. Hawa ni mboga tu kwa Warriors.
Okay, FF to the present...mpaka sasa ni Warriors pekee iko mbele 2-0 dhidi ya mpinzani wake. Timu zingine bado zinasuasua na haijulikani kama zitavuka. Leo tunasubiri kuona kama CAVs watafuata nyayo za Warriors...kazi kwako.Naona bado unakomaa na historia za regular season!
Leo tunasubiri kuona kama CAVs watafuata nyayo za Warriors...kazi kwako.
Hongera Nzi, kwa bahati mbaya sikuuona mchezo lakini kiukweli CAVs mmejitahidi. Usiwe unapotea hivyo mwenzangu ila kumbuka Hawks wamekuwa wateja wenu tangu mwaka jana. Nakumbuka mlivyowatungua 4-0 kwenye playoffs. Kama umemsikia LBJ kwenye mahojiano, kakiri GSW wame-revolutionize mchezo na sasa umwamba tu peke yake hautoshi.Ha ha ha! Naamini umeona jinsi kazi ilivyokamilika! Na umeona jinsi Cavs walivyoweka rekodi mpya ya 3 pointers, wakifunga 25
Hongera Nzi, kwa bahati mbaya sikuuona mchezo lakini kiukweli CAVs mmejitahidi. Usiwe unapotea hivyo mwenzangu ila kumbuka Hawks wamekuwa wateja wenu tangu mwaka jana. Nakumbuka mlivyowatungua 4-0 kwenye playoffs. Kama umemsikia LBJ kwenye mahojiano, kakiri GSW wame-revolutionize mchezo na sasa umwamba tu peke yake hautoshi.
Mpaka sasa series ambazo zitakuwa competitive kwenye hii round ni SAS vs OKC na Miami vs Toronto, huku kwingine naona kama washindi wameshashinda.
ATL inabidi wapate hata game moja kule kwao hasa hasa game 3, vinginevyo itawavunja moyo na wanaweza kusambaratisha timu kama Miami ya LBJ ilivyowasambaratisha Indiana. Bila kusahau kufukuzwa kazi kwa coach wa Bulls.
Naona jana wamekaza sana aisee.. Second Game nayo imeenda OT..Miami vs Toronto 1-1, Steph hawa Toronto wanaweza kumwondoa Miami? Make nina hamu na LBJ akutane na jamaa zake wa zamani, especially Wade.
Naona jana wamekaza sana aisee.. Second Game nayo imeenda OT..
Sasa tusubiri kama wataweza kushinda kule Miami.. Ila yote ya yote mtakayekutana naye yoyote kwenye Finals hamtapata mteremko kama huo wa Hawks..
hahahahahaha Lebron is East..Akija Toronto itakuwa very easy, ingawa hata Miami akijitahidi atapata game 1, ila Toronto hata sweep inaweza kutokea.
hahahahahaha Lebron is East..