Ninachokupendea ni mwisho wa siku unakuja kutoa hongera lakini wenzako wanaingia mitini..
Time will tell... Sisi hatutakuwa na visingizio vya Curry alikuwa mgonjwa au hakucheza.. Kitakachotokea chochote tutakikubali, hatutakimbia jukwaa kama wengine ambao walisingizia ligi haikuwa nzuri ila tunajua kama itatokea GSW ikashindwa watarudi mbio hapa.. I will qoute my this, if that happens..
Nilivyo na hakika kwamba hukuwa ukishabikia Cavaliers miaka mitatu/minne iliyopita hadi aliporudi LBJ, your King. Mimi nina vigezo vinavyonifanya niishabikie timu na GSW kuleta kitu kipya katika mchezo wa basketball kilikuwa kigezo mojawapo.
Hapo tunatofautiana...mimi timu ikicheza vizuri, nitasifia. Kwa wachezaji nao nina vigezo vyangu na utumiaji wa nguvu kupita kiasi badala ya ufundi ni kigezo ninachokijali sana.
Hiyo ndiyo shida ya ndugu zako... Wako hapa eti kuangalia GSW ikifungwa wapate cha kuongea, sasa baada ya hayo kuwa yanatokea nadra eti wakasingizia ligi haina ushindani.. Duuuh hivi ni ligi ilikuwa haina ushindani au GSW hakuwa na mshindani?? Mwingine akaanzisha mpaka NFL hapa ili kuvuruga tu...Huu ni mchezo tu, mwisho wa siku usipoangalia unaweza kuugua madonda kwa sababu ya chuki zako dhidi ya timu iliyokufunga wakati wachezaji waliofungwa wako mapumzikoni wanakunywa wine huku wewe unaumia.
Ukifungwa kubali, toa sifa kwa aloyekufunga, nenda kajipange tena.
Griffin is not well too... Daah naomba hii series iende mpaka game 7 ili tupate siku kama 8 za mapumziko... Curry will be out for two weeks kwahiyo possibly atakuwepo game 3 or 4 ya second round na kama tukianza vizuri game za nyumbani dhidi ya Clippers/RipCity basi anaweza kupumzika zaidi kusubiri Western Finals.. Ninaomba sana akina Thompson na Green wasimamie show ya Second Round waimalize hata ndani ya game 5 ili Curry asiguse kabisa second round aje kwenye finals... It is time for Livingstone to step up (he already did that) and dogo Ian Clark apige show kama backup ya Livingstone..Guys hawa Charlotte Hornets kila anapokuwepo Michael Jordan uwanjani (their home court) hawashikiki. Jeremy Lin (Linsanity, Linitendo) as you may call him is back to his previous good though not best. He has turned into a very big X factor has he's pouring double figures. And a series which was thought to be a sweep or 5-1 is now even. 2-2 with Miami.
THE EASTERN CONFERENCE PLAYOFFS SERIES HAVE BEEN VERY COMPETITIVE.
Meanwhile there's a chance that Clippers will be eliminated as the Portland Trail Blazers have tied the series 2-2 and prio to that today in the third quarter of the game Chris Paul broke his right hand. He may be out for the rest of the playoffs.
...
Nasikia sasa wengine tunaitwa GSW bandwagon, ....
Mkuu usipate nae shida.. Anataka kuleta ligi zake za football huku... Ukienda kwenye nyuzi za football utajua huyo mtu ni wa namna gani...Humu ndani kuna tatizo moja tu so far... Watu mshafanya vitu viwe personal sana. Na hii inaondoa weredi wa majadiliano yetu na kufanya tushindwe kuweka bayana uchambuzi sahihi wa masuala ya mchezo huu ambao binafsi naamini mashabiki wake ni watu smart na wenye staha na kujua wanachofanya.
Let's change guys, Umefika wakati Sasa hii thread mtu akifungua apate hamu ya kuketi ajifunze mambo mapya na asiyejua basketball atake kujua. Ila sio each and everytime sisi tuliosubscribe ukiona notification na kuifungua unakuta ni fulani katupa jibe kwa fulani.
Sijui unataka ushabiki gani wa michezo usio na vijembe! Vijembe na kujitamba ni sehemu ya ushabiki wa michezo yoyote ile. Bila vijembe na utani, hakuna ushabiki braza. Sidhani kama kuna vitu vipo personal kama unavyodai. Kama unaona vitu vinakuwa personal sema wazi vitu hivyo. Na sielewi ni vipi unadefine personal!Humu ndani kuna tatizo moja tu so far... Watu mshafanya vitu viwe personal sana. Na hii inaondoa weredi wa majadiliano yetu na kufanya tushindwe kuweka bayana uchambuzi sahihi wa masuala ya mchezo huu ambao binafsi naamini mashabiki wake ni watu smart na wenye staha na kujua wanachofanya.
Let's change guys, Umefika wakati Sasa hii thread mtu akifungua apate hamu ya kuketi ajifunze mambo mapya na asiyejua basketball atake kujua. Ila sio each and everytime sisi tuliosubscribe ukiona notification na kuifungua unakuta ni fulani katupa jibe kwa fulani.
Sijui unataka ushabiki gani wa michezo usio na vijembe! Vijembe na kujitamba ni sehemu ya ushabiki wa michezo yoyote ile. Bila vijembe na utani, hakuna ushabiki braza. Sidhani kama kuna vitu vipo personal kama unavyodai. Kama unaona vitu vinakuwa personal sema wazi vitu hivyo. Na sielewi ni vipi unadefine personal!
NB: na unaweza kuwa mtu wa kuleta hayo mambo mapya ya juu ya mpira wa kikapu. Usibaki kulalamika tu wakati hujazuiwa kuleta hayo mambo mapya.
Juzi kuna comment moja nliisoma sehemu nkaikubali sana.Bandwagon kwa sababu naaamini misimu mitatu/minne iliyopita hukuwa ukishabikia GSW.
Siyo lazima kupongeza kila jambo la timu pinzani, wewe sifia wengine tutasoma tu.
Don't be too much straight, fam!. Go with that "soft touch".Wewe hiyo misimu mitatu iliyopita ulikuwa Cavs au Miami??
Au wewe ni shabiki wa Lebron kwahiyo aendako na wewe upo..
Ha ha ha! Baada ya Finals za mwaka huu kutakuwa na bandwagons wapya (siyo wa GSW lakini).Juzi kuna comment moja nliisoma sehemu nkaikubali sana.
"Whoever lifts th trophy gets/deserve the bandwagon"
So it's all good with us GSW fans to be called that since it's all but natural. When the time comes for another team to lift up the L.O.T, you (other teams' fans) too will be the then bandwagons. So till then, chillax and....
May the best team win, partner.
And may the NBA gods hear your prayer, fam. Amen.Griffin is not well too... Daah naomba hii series iende mpaka game 7 ili tupate siku kama 8 za mapumziko... Curry will be out for two weeks kwahiyo possibly atakuwepo game 3 or 4 ya second round na kama tukianza vizuri game za nyumbani dhidi ya Clippers/RipCity basi anaweza kupumzika zaidi kusubiri Western Finals.. Ninaomba sana akina Thompson na Green wasimamie show ya Second Round waimalize hata ndani ya game 5 ili Curry asiguse kabisa second round aje kwenye finals... It is time for Livingstone to step up (he already did that) and dogo Ian Clark apige show kama backup ya Livingstone..
Hahaha sure thing bruv!. Na tukichukua tena msisite kuendeleza tamaduni.Ha ha ha! Baada ya Finals za mwaka huu kutakuwa na bandwagons wapya (siyo wa GSW lakini).
Pamoja mazee...
Hapa umeongea Nzi, big up! Ninavyopenda vijembe, wee acha tu. Bila vijembe mbona jukwaa litapoa? Hapo juu tayari nimepewa kijembe...mbona sikusifia Paul Millsap alivyofunga points 45 na rebounds 13? Ni kweli sikufanya hivyo kwani mchezo sikuutazama (kumbuka narekodi zile ambazo nakosa kuzitazama), nitakapopata muda na kuuangalia sitasita kutoa pongezi.Sijui unataka ushabiki gani wa michezo usio na vijembe! Vijembe na kujitamba ni sehemu ya ushabiki wa michezo yoyote ile. Bila vijembe na utani, hakuna ushabiki braza. Sidhani kama kuna vitu vipo personal kama unavyodai. Kama unaona vitu vinakuwa personal sema wazi vitu hivyo. Na sielewi ni vipi unadefine personal!
NB: na unaweza kuwa mtu wa kuleta hayo mambo mapya ya juu ya mpira wa kikapu. Usibaki kulalamika tu wakati hujazuiwa kuleta hayo mambo mapya.
I really enjoy ESPN Comment section,even when the jab is thrown at GSW...Hapa umeongea Nzi, big up! Ninavyopenda vijembe, wee acha tu. Bila vijembe mbona jukwaa litapoa? Hapo juu tayari nimepewa kijembe...mbona sikusifia Paul Millsap alivyofunga points 45 na rebounds 13? Ni kweli sikufanya hivyo kwani mchezo sikuutazama (kumbuka narekodi zile ambazo nakosa kuzitazama), nitakapopata muda na kuuangalia sitasita kutoa pongezi.
Ushauri wangu kwa yeyote anayekwazwa akikutana na vijembe humu ni huu, kama moto wa jikoni huwezi kuuvumilia, mlango uko wazi, toka humo...ha ha haa! Bila vijembe jukwaa halinogi na toka leo naagiza ushabiki unaokosa vijembe ni marufuku katika jukwaa la burudani na michezo. Nitaendelea kutoa vijembe tena vizito kwa anayeponda timu yangu bila sababu za msingi, hapo sasa!