MJ is my favorite player of all time kiasi kwamba huwa sometimes inaniuma baadhi ya rekodi zake zikivunjwa..Having said that..Nina appreciate all them Legends' legacy...But lets be realistic and leave the hypotheticals..Debate kama hii will last forever kwakuwa haitakuja kutokea..kila mtu atakuwa biased kwa Anayempenda kwakuwa hakuna namna ya kuwarudisha uwanjani na kuwapambanisha...Za masiku Mkuu poa kabisa, vipi wewe? kwi kwi kwi kwi kwi lol! haya Mkuu basi itakuwa 4-1 🙂🙂 pamoja na ushabiki wangu mkubwa wa Da Bulls hasa ya enzi za Michael Jordan kusema kweli GSW wasingefurukuta kabisa kwa New York Knicks (Enzi za akina Ewing), Miami Heat, Houston Rockets (The Dream Hakeem Olajuwon) na Phoenix (Charles Barkley & Kevin Johnson) ila kwa style ile ya miaka ile ambayo wengi tunaimiss sana ukilinganisha na hii soft style ya miaka hii ya karibuni.
....ila kwa style ile ya miaka ile ambayo wengi tunaimiss sana ukilinganisha na hii soft style ya miaka hii ya karibuni.
..."soft" is a too disrespectful term...These dudes are working their asses off..too damn hard to call them that..
"Less Physical" ni proper term...
Lakini tutambue why that?...
This sport is a multi billion dollar industry. ..Watu wameinvest pesa nyingi mno..hence..they would like to protect their mega investments to yield good return...Je ungependa star wako unayemlipa $10M-$20M awe anakosa zaidi ya nusu msimu?..Never...Mchezo uwe more watchable lazima uwe mzuri(hence rule changes...Early 2000s..japo mabadiliko yalianza tangu 1990s)..
Kwahiyo badala ya kuchukia style ya sasa na kuumiss undava wa miaka ya 90..lets know that changes were done with very logical intention. ..With development they do research on how to improve the game and make ot more profitable..Kuna siku niliona Adam Silver ameenda Ulaya kuonana na maafisa UEFA na kujifunza baadhi ya vitu ila wakavifanyie kazi NBA..

note:"multi billion $ industry"Yeah! the sport was also 1 billion industry during Michael Jordan's era and players were allowed to play the game without a lot of interference from referees. Sasa waliocheza enzi zile ambazo hazikuwa za nare nare mbona wengi waliweza kucheza kila msimu mzima bila kukosa na kwa misimu mingi tu? Changes are good but to the point. Many NBA fans are not happy with recent changes "to protect players" kama kungefanyika opinion polls mashabiki wengi wangependelea kurudi katika sheria zile za miaka ya 90 na si hizi za sasa za soft NBA.
Hahah..Do you know that Gary Payton was best trash talker in NBA History..Huyu mpaka leo hajabadilika..MJ na Bird walikuwa hivyo lakini with time..(labda kwakuwa ni maexecutives)wamekuwa humble na kutokuwa wapayukaju..Haya si maneno ya BAK bali ya mcheza mmoja ambaye alikuwa mashuhuri sana na kama si Michael Jordan na Da Bulls naye si ajabu na timu yake ya Seattle wangekuwa mabingwa at least mara moja.
Gary Payton says playing in this 'soft era' of the NBA would get him fined
Huyu jamaa mnafiki tu..maana nadhani alicheza mpaka 2006(Miami Heat)..na tayari rule hizo zilishaanza kutumika tangu 2002..sasa mbona hizo fine za kupita kiasi hatukuziona?..Unaweza Argue he was past his prime..lakini he played enough ("soft era")period ti justify his statement. ..(In Kikwete's Voice).."Mi nadhani tumuache tu Mzee wetu apumzike" [emoji2] [emoji2] [emoji2]
note:"multi billion $ industry"
NBA now is more way financially prosperous than it was 5yrs back,let alone during Jordan Era...Je unatambua The Great MJ hayuko hata top 100 Ya walioingiza mkwanja mrefu during their NBA Careers cumulatively?..Are you aware of the yet to be implemented TV DEAL ambayo NBA Wameingia?..BPA nao wameshaanza kujipanga na NEW CBA(collective Bargaining Agreement)..
Mchezo unakua na fanbase inazidi kuongezeka..najua wapo baadhi ya wanaopenda old school game..But people need to stop living the past and face reality..
Kitu kimojawapo kikuu ambacho kwa NBA kilishuka post JORDAN ERA ni TV Ratings..hata hivyo moja ya sababu inayoonekana kusababisha hii ni time factor..uwepo wa programs nyingi za kuangalia ukilinganisha na kipindi kile..
Huyu jamaa mnafiki tu..maana nadhani alicheza mpaka 2006(Miami Heat)..na tayari rule hizo zilishaanza kutumika tangu 2002..sasa mbona hizo fine za kupita kiasi hatukuziona?..Unaweza Argue he was past his prime..lakini he played enough ("soft era")period ti justify his statement. ..(In Kikwete's Voice).."Mi nadhani tumuache tu Mzee wetu apumzike" [emoji2] [emoji2] [emoji2]
We can use this same logic to downplay LeBron's Greatness as he has been dominating the "so called Soft Era"..I call it absurd..
Ninatumia simu so I face some diffuculties kuappload video za hao hao wakisifu the current state of the league..very contradictory. .Basi hata Kobe na Shaq nao ni wanafiki.
We can use this same logic to downplay LeBron's Greatness as he has been dominating the "so called Soft Era"..I call it absurd..
So technically. .Ewing,Miller,Barkley,Karl are somehow greater than LBJ or would have dominated more?...
Na nimegundua kitu,When it comes to Evaluating Lbjs dominance "the soft era issue" is never brought up by most pundits,fans and past legends..why?..maybe his physicality puts him above the rest..but so are a number of athletic,talented,skillful pool of big men that are still available..
However once GSW magical is witnessed,same people find a reason to ponder it..
Ninatumia simu so I face some diffuculties kuappload video za hao hao wakisifu the current state of the league..very contradictory. .
Mind you..We are calling KOBE GREAT after having witnessed his greatness in the "Soft Era"(2000-2012)..Nadhani umeona the Great Big O aftermath ya comment aliyotoa baada kuponda makocha wote wa sasa NBA..
I stand by what I said earlier..calling this current NBA "soft" seems disrespectful. ...I appreciate what they bring day in day out..."less physical" is appropriate term..
.
It is disrespectful to you, but it is the TRUTH whether you like it or not.
Mind you.. had more NBA fans preferred the past style to the current one..NBA would have gone down hill. .which is contrary to what we see..You're entitiled to your opinion Mkuu, but I don't agree with you. Preference differ from one person to another. You like what you see in current NBA games and I don't. It is absurd to you but not to many fans and players who are able to make comparison of those two ERA.
Mind you.. had more NBA fans preferred the past style to the current one..NBA would have gone down hill. .which is contrary to what we see..
Those past legends were very competitive ..so it's natural for them to believe they were far better and superior than the players today...
ENVY/JEALOUSY can also play a part on their take as current players enjoy more limelight,fame,prosperous and Prestige..
At the end of the day ..kila "mwamba ngoma atavutia pake tu"...
.baada ya kusema hayo natumai unakumbuka nilipoanza kwakusema.."MJ is my favorite player of all time"...You can see where I stand.Good night bruh...
Once opinion cannot be "universally" mandated as a fact/truth..It is disrespectful to you, but it is the TRUTH whether you like it or not.