Je umemuona Russell Westbrook kwenye hiyo list?
Draymond now the first player ever to top +1000.
Klay joins him and Steph in the top 10
Kama kawaida vijana wa GSW ndio wamekamata usukani.
Usipende kuchukulia kila neno literary mzee...nilimaanisha inakuwaje Curry yupo kwenye nafasi ya kuwania u-MVP!?! Kugombaniwa kulimaanisha 'competing' ama racing' n.k. kwamba I wonder why Curry is competing/racing for MVP while he isn't even an MVP in his own team? I wonder why is he the candidate and not Green?
Kama nilivyosema unapenda kusoma vitu literary na not between the lines. Kama ungesoma post yangu vizuri, ungeelewa nilichotaka kukisema. Curry bandwagon ndiyo sababu. Na hii siyo kwa washabiki tu, hata waandishi na watangazaji wa habari za NBA. Wote wamo kwenye Curry bandwagon. Huwezi kuwa MVP kama wewe siyo most valuable kwenye timu yako! Unless hizo takwimu ulizoziweka ni za uongo. Kuwa MVP ni zaidi ya ku-shoot 3 pts...