Thanks Warriors, you have started my weekend in a good way!. We showed up in your home court.
Sasa nnachoomba hawa vijana wetu, Game ya 5 wasije flop ka OKC tukapinduliwa au kuvuuta series ambayo inaweza kumalizwa kwa just 1 W.
Ka nawaona Cavs walivyojawa na hasira. Game 5 itakuwa mechi kali sana.