Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,713
- Thread starter
-
- #2,901
Tulisema hapa Cavs hii ya Love na Kyrie ni burden.. No defense and their offense isn't any closer to the Warriors... Kama tumeweza kuzifunga timu zenye defense nzuri kama Spurs na OKC kwenye regular na mpaka kwenye Play offs kumsimamisha OKC mwenye offense nzuri kuliko Cavs ndio wawe hawa??
Cavs wajaribu kushinda walau game1 ili wasiwe swept ila kushinda championship wasahau. Cavs wamepumzika karibu week wakati gsw wamepumzika siku kadhaa tu ila gsw wamepiga kazi.Tulisema hapa Cavs hii ya Love na Kyrie ni burden.. No defense and their offense isn't any closer to the Warriors... Kama tumeweza kuzifunga timu zenye defense nzuri kama Spurs na OKC kwenye regular na mpaka kwenye Play offs kumsimamisha OKC mwenye offense nzuri kuliko Cavs ndio wawe hawa??
Walijivunjia record ya 3's against Hawks kwa kupiga 3, 21 nyingine 25.. Yaani series nzima ya Hawks waliavarage more than 17 3 pointers.. What a weak defense?? Hivi kweli unafananisha offense ya yule dogo Skrudaa na Lillard na CJ?? Unafananisha offense ya Lowry na Demar na ya Russ na KD?? Walilala kuzifunga vibonde mwishowe ndio haya ya huku.. Bench tu limewapa kichapo kizito..
Hahah..Welcome to the board bro....Unakunywa kinywaji gani?
It's time for Lebron, CP3, Wade and Mello to gang up on one franchise... There is no way for Lebron to win another ring, haitakaa itokee labda wakubali a pay cut kwa misimu angalau miwili ndio waje kupambana na hii Warriors.. Lebron na vichezaji vya East vyote hakuna wa kumsimamisha Warriors kwenye series, wala hii OKC assuming KD akibaki, wala Spurs..Cavs wajaribu kushinda walau game1 ili wasiwe swept ila kushinda championship wasahau. Cavs wamepumzika karibu week wakati gsw wamepumzika siku kadhaa tu ila gsw wamepiga kazi.
I couldn't agree moreIt's time for Lebron, CP3, Wade and Mello to gang up on one franchise... There is no way for Lebron to win another ring, haitakaa itokee labda wakubali a pay cut kwa misimu angalau miwili ndio waje kupambana na hii Warriors.. Lebron na vichezaji vya East vyote hakuna wa kumsimamisha Warriors kwenye series, wala hii OKC assuming KD akibaki, wala Spurs..
Hahaha sasa hii inahusika vipi na uzi au hizi Finals? Au ndo kule "He's nothing I haven't seen"?!. Just with the light touch ka my bruvs in here wanavyosemaga.Kobe wa 11. For starters, Curry isn't in the top 10 on ESPN's list. Or the top 20. Or even the top 30! He actually comes in at No. 34 on the list behind six other NBA players, including Dwyane Wade (No. 33), Derrick Rose (No. 30), Carmelo Anthony (No. 29), Kobe Bryant (No. 11), Kevin Durant (No. 6), and LeBron James (No. 2). Other athletes who rank ahead of Curry? Golfers Rory McIlroy (No. 20) and Phil Mickelson (No. 13), female tennis players Serena Williams (No. 25) and Maria Sharapova (No. 18), just about every prominent soccer player (Neymar at No. 4, Lionel Messi at No. 3, Cristiano Ronaldo at No. 1), and not one but two cricket players (Mahendra Singh Dhoni at No. 14 and Virat Kohli at No. 8).
Hii ni forums ya NBA anything related to the NBA games, players, style etc kinaletwa hapa.Hahaha sasa hii inahusika vipi na uzi au hizi Finals? Au ndo kule "He's nothing I haven't seen"?!. Just with the light touch ka my bruvs in here wanavyosemaga.
Believe you say?! Say no more, bruv!I believe this time LeBron anaenda kulipa kisasi kwa huyu dogo.
Hahah..Go and serve yourself in a Cavs' locker room.Mbege!
Hahaha bruv, hawa wote (natanguliza samahani) naona wana tendencies za kuwa opportunists. Yan GSW akipigwa tu ndo utasikia uzi una watu wapya.Huu uzi ghafla umekuwa na wachangiaji wapya wengi sana. Bahati mbaya wanapotea kila baada ya mchezo.
Siku mbili zilizopita nimewaona wengi kupindukia
Ilibidi nisubiri mtu aulize coz imenichukua mda kuelewa.Hahah..Welcome to the board bro....Unakunywa kinywaji gani?
Hahaha bro you made my day with that phraseTabiri zake zinanikumbusha that moment when,"Superstitious beat Science"
Kwamba mmeshinda game 1bado haimaanishi kuwa hamuwezi kutofungwa. Cavs can still do what you did to OKC.Believe you say?! Say no more, bruv!