Kesho Ijumaa ni siku kubwa Oakland na Bay Area nzima. San Francisco ndio usiseme, ni partying hadi liamba. Hata hivyo si tabia nzuri kuuchukua ubingwa nyumbani kwa mwenzio, hii hata mimi sikuipenda. Wangeendeleza torture tu kama kawaida lakini kwa kutanguliza japo kahuruma kwa the best player in the world, King James.