Kuna watu wanajidanganya kweli kweli...endeleeni kuota ndoto! Eti kwa nini GSW walihitaji reinforcement, really? GSW hawakutwaa ubingwa kwa nini wasihitaji? Kama mabingwa CAVS imebidi watafute reinforcement kwenye lineup yao na pamoja na hilo hawaachi kulia kulia kila siku, kwa nini iwe nongwa kwa ambao waliukosa ubingwa? Ugomvi mkubwa huko Cleveland unasababishwa na whining ya the best player in the world. Nafurahi kuwa GSW hawalii hovyo hovyo kama wenzao...mtu mzima na kulia lia wapi na wapi.
Ha ha haa Raimundo na Nzi; hivi na ninyi mnalia lia kwa nini? Mnasema games za fainali hazikifi sita, sasa kulalama kote kwenu kunasababaishwa na nini kama sio woga wenu. GSW wamshajihakikishia nafasi ya kwanza West, je vipi mabingwa! Mara excuse kibao, oh preseason si chochote, tunasubiri playoffs, really? Acheni hizo, mkiwa uwanjani chezeni basketball, vilio pelekeni msibani, watu wazima hovyo...🙂🙂🙂!
Kuna kamsemo kanasema, "kuwa na akiba ya maneno". Nakushauri ukazingatie daima.Kuna watu wanajidanganya kweli kweli...endeleeni kuota ndoto! Eti kwa nini GSW walihitaji reinforcement, really? GSW hawakutwaa ubingwa kwa nini wasihitaji? Kama mabingwa CAVS imebidi watafute reinforcement kwenye lineup yao na pamoja na hilo hawaachi kulia kulia kila siku, kwa nini iwe nongwa kwa ambao waliukosa ubingwa? Ugomvi mkubwa huko Cleveland unasababishwa na whining ya the best player in the world. Nafurahi kuwa GSW hawalii hovyo hovyo kama wenzao...mtu mzima na kulia lia wapi na wapi.
Ha ha haa Raimundo na Nzi; hivi na ninyi mnalia lia kwa nini? Mnasema games za fainali hazikifi sita, sasa kulalama kote kwenu kunasababaishwa na nini kama sio woga wenu. GSW wameshajihakikishia nafasi ya kwanza West, je vipi mabingwa! Mara excuse kibao, oh preseason si chochote, tunasubiri playoffs, really? Acheni hizo, mkiwa uwanjani chezeni basketball, vilio pelekeni msibani, watu wazima hovyo...🙂🙂🙂! Mtu mzima hatishiwi nyau! Mara sijui San Antonio, mara Houston, really?
Kwa Indiana ilibidi LeBron acheze zaidi ya dakika hamsini (sijui mnataka kumuua mzee wa watu!) Juzi tena kwa Orlando hadi O/T, karibu azimie...kweli nyie hamna huruma. Leo sijui itabidi acheze dakika zote kama mnataka kuutwaa number one spot huko East ingawa Raimundo haupi umuhimu! Hata hivyo poleni sana.BTW, nasubiria game hapa...
Yaani una roho ngumu kweli kweli! Wewe unadhani nani tena atautwaa number one spot huku West...hilo mbona halina mjadala ndugu yangu au unausubiri mkono wa mtu udondoke. FYI that spot is reserved or rather is already taken, you know by who!nimesikia GSW wanahitaji kushinda 2 more game kuhakikisha wanakuwa wa kwanza. Sasa wewe mzee hizo stori zako za kwamba wameshajihakikishia umezitolea wapi?
Ngoja ninyamaze tu, naona unaongea mambo yasiyoeleweka! Yaani game ya Cavs na Orlando ilienda OT? Inawezekana wewe unajiongelesha.Kwa Indiana ilibidi LeBron acheze zaidi ya dakika hamsini (sijui mnataka kumuua mzee wa watu!) Juzi tena kwa Orlando hadi O/T, karibu azimie...kweli nyie hamna huruma. Leo sijui itabidi acheze dakika zote kama mnataka kuutwaa number one spot huko East ingawa Raimundo haupi umuhimu! Hata hivyo poleni sana.
Yaani una roho ngumu kweli kweli! Wewe unadhani nani tena atautwaa namba one spot huku West...hilo mbona halina mjadala ndugu yangu au unausubiri mkono wa mtu udondoke. FYI that spot is reserved or rather is already taken, you know by who!
Samahani nilitaka kusema Indiana siku ya Jumapili...anyway nadhani unaikumbuka ile mechi ya March mosi, of course huwezi kumsahau Thomas alivyowachachfya! Nimeambiwa yuko fit kwa mechi ya leo na anawasubiri kwa hamu kubwa.Ngoja ninyamaze tu, naona unaongea mambo yasiyoeleweka! Yaani game ya Cavs na Orlando ilienda OT? Inawezekana wewe unajiongelesha.
Umesikia wapi? GSW hana mpinzani West na sasa hata akiachia game zore zilizobakia, nafasi yake iko pale pale...ensured, safe and insured. Ya huko East, who knows!...nimesikia GSW wanahitaji kushinda 2 more game kuhakikisha wanakuwa wa kwanza. Sasa wewe mzee hizo stori zako za kwamba wameshajihakikishia umezitolea wapi?
SawaUmesikia wapi? GSW hana mpinzani West na sasa hata akiachia game zore zilizobakia, nafasi yake iko pale pale...ensured, safe and insured. Ya huko East, who knows!
Jamani masikini LBJ...hadi namhurumia. Leo kachezeshwa dakika 41 lakini wapi, mwewe wakakataa kuachia kifaranga...CAVs: 100, Hawks: 114. Huko East bado iko kazi kumpata number one seed na michezo imebaki minne tu! Oops, nilikuwa nashau kwamba kwa CAVs kuingia kwenye playoffs ndio lengo, hiyo ya kuwa seed one si lolote si chochote!
He he he...Jamani masikini LBJ...hadi namhurumia. Leo kachezeshwa dakika 41 lakini wapi, mwewe wakakataa kuachia kifaranga...CAVs: 100, Hawks: 114. Huko East bado iko kazi kumpata number one seed na michezo imebaki minne tu! Oops, nilikuwa nashau kwamba kwa CAVs kuingia kwenye playoffs ndio lengo, hiyo ya kuwa seed one si lolote si chochote!
Acha fiksi mzee, AD na Boogie hawakucheza!! Sasa kwanini useme "dhidi ya Pelicans Starters"?Bench ya Warriors inaanza kuwa tishio...katika mchezo wa leo dhidi ya Pelicans Starters wamefunga 65 na Bench wamefunga 58, jumla 123. Hii ni pamoja na Steph Curry kupewa likizo, duh!
Whining while loosing to Hawks Bench...The post-season is coming, let's wait and see who is right or wrong.
It is actually losing and not loosing bruh!Whining while loosing to Hawks Bench...
Pathetic Lavs...