Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,208
- 27,016
Kwani we ukisema Green is special does it make your opinion authorative[emoji3]Chill out bruh! Kwani ni uongo kwamba Green is the real MVP in the literal sense of being the most valuable player? Licha ya hivyo, hakuondoi ukweli kwamba Curry ni mzuri pia; lakini kwenye timu Green ni muhimu zaidi ya Curry. Hapa siyo suala la kumkubali Curry au lah! Yes, Curry may be an NBA superstar, but he aint the MVP in his team. And this is what Jordan and Lebron special: their presences carry teams, and their absences make the teams lose games. Yes, hawafanyi kila kitu, lakini wakikosekana kwenye timu, timu haifanyi kitu. Ndivyo alivyo Green kwa GSW. Kukosekana kwa Curry hapo GSW hakuna madhara kama kukosekana kwa Green! This is a proven fact na ushahidi upo.
By the way, kwani Bron akitweet Curry ni special does it make his opinion authoritative?
Lakers leo wametuweza kwakweli Swagg P ndio mbabe wetu
KamaNaona Steph Curry leo katoa somo...kuhusu clutch shot ni mdudu gani! Je kuna lingine? Karibu sana Nzi...
Ukisoma kwa kuelewa na siyo kwa nia ya kukosoa, utaelewa kwamba ninachosema ni mtazamo wangu! Ila ninauamini kwa stats kuhusu umuhimu wa wachezaji ndani ya GSW (haswa kwa misimu miwili iliyopita) zinaonyesha Green ni muhimu zaidi. Nilishaziweka humu, zitafute kama huamini! Bron alisema juu ya uwezo wa hali ya juu wa Curry ku-shoot 3s, which has nothing to deal with being a team's MVP!Kwani we ukisema Green is special does it make your opinion authorative[emoji3]
149-106! Raimundo upo? Kama hawangepunguza spidi kweli hiyo 200 hawangeiona? 47 assists? Kazi kweli kweli!huu ni ubakaji wa wazi wazi!
HatushindaniHa ha ha, wazee wa unrealistic projections!
Mmenikumbusha zile za eti kwa vile Klay Thompson aliscore 37 points kwa quarter moja basi ipo siku atascore points 148 kwa quarter nne, au vile Stephen Curry aliscore 17 points OT (5 minutes) eti akicheza 30 minutes atascore points 102.
Kwenye hiyo $100 niliyoahidi kutoa ikiwa Stephen Curry atascore 17 points OT au 80 points kwenye game moja, naongezea na hii mpya ya 200 points.
Tuendelee kuwa pamoja wakuu.
8 seed here we come... teh teh teh teh tehNa leo Cousins katuweza pia saaana [emoji57][emoji57][emoji57]
Duh, kelele za CAVs kwenye twitter naona zimezimika ghafla...rekodi ya 137 haikudumu hata kwa saa tatu! Hawa Warriors hawa, lazima tuwatafutie dawa. 149, sawa na 38 kila quarter...hii ni hatari tupu.Sasa 200 inafikaje?
Kwa sababu sijaona hata quarter 1 mliyopata 50 points (200/4)!
Cavs wako vizuri sana.. Ila sijui kwanini walimwacha Dell... Haka kajaa ndio kalikuwa kana msumbua msumbua Curry na rafu zake za kijinga..Duh, kelele za CAVs kwenye twitter naona zimezimika ghafla...rekodi ya 137 haikudumu hata kwa saa tatu! Hawa Warriors hawa, lazima tuwatafutie dawa. 149, sawa na 38 kila quarter...hii ni hatari tupu.
Hivi wale fans wa OKC waliojitokeza kwa wingi kwenye western finals za mwaka jana wako wapi??
Naona sasa wamebaki kupiga kelele za Russ needs some help.. Sasa kama alikuwa na msaada wa KD na Ibaka, hata akipewa msaada wa aina gani hawezi kugusa Western finals akiwa pale OKC hata kwa nini. Russel aende NOP akaungane na AD
Walianza kwa mkwara kweli watu tukawa tunawachora tu teh teh teh..Unamtafuta Soso J