Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,713
He fits very well though bado timu inatafuta chemistry... Wakielewana vyema na bench likiwa zuri basi kazi tumemaliza..Oyoooo, niaje mkuu Raimundo na wanafamilia wenzangu wa huu uzi maridadi. Dah, kwanza mnisamehe bure ndugu yenu, haya majukumu ya kazi na kushinda mda mrefu maporini ndo kunafanya napitwa sana na maendeleo ya ligi hii pendwa.
Dah, leo ndo nimepata ka'2G sehemu nkaingia ESPN. Duh, tushachapwa gemu mbili tayari.
Vipi, KD anafit chemistry ya kina Curry and Co.?
Ila pamoja na kupoteza hizo gemu mbili, nafurahi kijana ameweka record nyingine kwenye tasnia anayoiwezaga akiwa fresh..
Nimewamiss sana wakuu wangu, Mag3, Steph Curry, Nyani Ngabu, Raimundo, @Alegria de Povo, BAC, Nzi, na wengine wote wakongwe kwa wageni.
That's the guy we have known over the years...Klay is on fire... That 37 Points guy..
That's 'wassup'...Naona leo Klay Thompson yuko katika UBORA wake...
Go Klay...
Go warriors..!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daaah we mtu nanyoosha mikono juu[emoji119] [emoji119]Hapana, najua kucheza mgegedo-ball.
KD is 8/8That's the guy we have known over the years...
Bora tuwe inconsistent ili trollers wapate cha kusema...πππ...KD is 8/8
Klay is 8/9
Let's make this a routine now..
Hii kali...Blazing Trails vipi?mmmhm..
Blazers are fighting the blaze caused by Clippers...Hii kali...Blazing Trails vipi?
Mkuu...
Naona na wewe ulirambishwa mchanga kidogo na Hawks..!
GSW ni kama maji...Bora tuwe inconsistent ili trollers wapate cha kusema...πππ...
La sivyo tunaweza tusiwaone msimu mzima humu...
Mkuu...Ligi hii huwezi kumaliza bila kufungwa mkuu, na ukifungwa unajipanga.