Mzee wa fungu la kukosa, we mwenyewe umeona msimu ulioisha jinsi ambavyo Cavs walivyowatanguliza mbele GSW kwa baiskeli za mbao then wakawapita shaaa, halafu eti ndo uliochagua kuwashabikia.
Mkuu...
Mimi mwenyewe nashindwa kuelewa imekuwaje...
Lakini nilijikuta navutiwa na GSW tu...
Hata kama Cavs atachukua ubingwa tena kwangu hakuna TATIZO..!
Mkuu...
Mimi mwenyewe nashindwa kuelewa imekuwaje...
Lakini nilijikuta navutiwa na GSW tu...
Hata kama Cavs atachukua ubingwa tena kwangu hakuna TATIZO..!
Jaman mie nashusha(download) kila game kuanzia kuanza season hii imeanza!tho nazipa kipaumbele games za OKC (TIMU YANGU) na timu zingine ila kamwe sijaweza download za CAvs Sasa simpendi LBJ
Samahani wakuu humu... Nimekuwa si mfuatiliaji kabisa wa mchezo wa Basketball.... Ila naona ni wakati sasa wa kuanza kuujua huu mchezo......
Nimeona nianze kuishabikia Cleveland Cavaliers kwa sababu kuna jamaa ana mwili mkubwa sana aisee... Amejaza tattoos nyingi kweli mabegani. Inaonekana anajua sana.
kwa walichowafanya Clippers leo wanadhihirisha si timu ya mchezo mchezo..hususani ukizingatia GSW Chemistry bado haieleweki,Thunder kuona kama ''wamesalitiwa'' na KD na mambo kadha wa kadha..
I believe teamwork ya OKC will provide a tough match-up against the Dubs..''Mr.Do It All'' should keep on believing his teammates,meanwhile,hoping GSW's sluggish start continues...