Mangungo II JF-Expert Member Joined Jul 6, 2012 Posts 18,173 Reaction score 26,910 Jun 5, 2017 #2,621 Lizarazu said: sawa kabisa Shumpert anapiga kazi hata KD anaonekana Kwa matukio tu. Ila sasa ubaya wa hawa jamaa second half wanakuwaga kama ndio wanaanza hivi, ila hata Tyronn analifahamu hilo. Click to expand... Hahaah mbona uoga bro tulia gemu bado ngumu sana.
Lizarazu said: sawa kabisa Shumpert anapiga kazi hata KD anaonekana Kwa matukio tu. Ila sasa ubaya wa hawa jamaa second half wanakuwaga kama ndio wanaanza hivi, ila hata Tyronn analifahamu hilo. Click to expand... Hahaah mbona uoga bro tulia gemu bado ngumu sana.
Raimundo JF-Expert Member Joined May 23, 2009 Posts 13,415 Reaction score 12,622 Jun 5, 2017 #2,622 Lizarazu said: sawa kabisa Shumpert anapiga kazi hata KD anaonekana Kwa matukio tu. Ila sasa ubaya wa hawa jamaa second half wanakuwaga kama ndio wanaanza hivi, ila hata Tyronn analifahamu hilo. Click to expand... Not today man, leo kinanuka. Ngoja uone defense ya Q3 mkuu.
Lizarazu said: sawa kabisa Shumpert anapiga kazi hata KD anaonekana Kwa matukio tu. Ila sasa ubaya wa hawa jamaa second half wanakuwaga kama ndio wanaanza hivi, ila hata Tyronn analifahamu hilo. Click to expand... Not today man, leo kinanuka. Ngoja uone defense ya Q3 mkuu.
Lizarazu JF-Expert Member Joined Aug 23, 2015 Posts 6,331 Reaction score 7,885 Jun 5, 2017 #2,623 Mazigazi said: Hahaah mbona uoga bro tulia gemu bado ngumu sana. Click to expand... Raimundo said: Not today man, leo kinanuka. Ngoja uone defense ya Q3 mkuu. Click to expand... Ahahaha... Tatizo bench lao lina afya sana na hicho huwa kinawasaidia sana kwenye second half.
Mazigazi said: Hahaah mbona uoga bro tulia gemu bado ngumu sana. Click to expand... Raimundo said: Not today man, leo kinanuka. Ngoja uone defense ya Q3 mkuu. Click to expand... Ahahaha... Tatizo bench lao lina afya sana na hicho huwa kinawasaidia sana kwenye second half.
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,769 Reaction score 288,283 Jun 5, 2017 Thread starter #2,624 Hawa Warriors wakiguswa tu wanapewa foul, lakini ni tofauti kwa CAVS.
Lizarazu JF-Expert Member Joined Aug 23, 2015 Posts 6,331 Reaction score 7,885 Jun 5, 2017 #2,625 Zaza pachulia hiyo faul aliyomchezea lebron amefanya hadi waka kumbushia ile siku aliyenchezea kawh
Keyboard_Warrior JF-Expert Member Joined Oct 10, 2015 Posts 6,106 Reaction score 10,473 Jun 5, 2017 #2,626 BAK said: Hawa Warriors wakiguswa tu wanapewa foul, lakini ni tofauti kwa CAVS. Click to expand... Itakuwa GSW inabebwa mkuu... Sio bure..!
BAK said: Hawa Warriors wakiguswa tu wanapewa foul, lakini ni tofauti kwa CAVS. Click to expand... Itakuwa GSW inabebwa mkuu... Sio bure..!
Lizarazu JF-Expert Member Joined Aug 23, 2015 Posts 6,331 Reaction score 7,885 Jun 5, 2017 #2,627 BAK said: Hawa Warriors wakiguswa tu wanapewa foul, lakini ni tofauti kwa CAVS. Click to expand... Kumbe na wewe umeliona hilo, halafu lue akiongea wanasema ni excuse! hii game kama mambo yataendelea itaharibika.
BAK said: Hawa Warriors wakiguswa tu wanapewa foul, lakini ni tofauti kwa CAVS. Click to expand... Kumbe na wewe umeliona hilo, halafu lue akiongea wanasema ni excuse! hii game kama mambo yataendelea itaharibika.
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,769 Reaction score 288,283 Jun 5, 2017 Thread starter #2,628 Nimeliona sana na linaudhi kweli Mkuu. Wawe fair kwa team zote. Lizarazu said: Kumbe na wewe umeliona hilo, halafu lue akiongea wanasema ni excuse! hii game kama mambo yataendelea itaharibika. Click to expand...
Nimeliona sana na linaudhi kweli Mkuu. Wawe fair kwa team zote. Lizarazu said: Kumbe na wewe umeliona hilo, halafu lue akiongea wanasema ni excuse! hii game kama mambo yataendelea itaharibika. Click to expand...
Lizarazu JF-Expert Member Joined Aug 23, 2015 Posts 6,331 Reaction score 7,885 Jun 5, 2017 #2,629 BAK said: Nimeliona sana na linaudhi kweli Mkuu. Wawe fair kwa team zote. Click to expand... Halafu wenyewe wakija Quicken loan wakifanyiwa unfair decision kama hizi kinakuwa ndio kisingizio. Hawa marefa wasituharibie fainali
BAK said: Nimeliona sana na linaudhi kweli Mkuu. Wawe fair kwa team zote. Click to expand... Halafu wenyewe wakija Quicken loan wakifanyiwa unfair decision kama hizi kinakuwa ndio kisingizio. Hawa marefa wasituharibie fainali
Keyboard_Warrior JF-Expert Member Joined Oct 10, 2015 Posts 6,106 Reaction score 10,473 Jun 5, 2017 #2,630 Lizarazu said: Halafu wenyewe wakija Quicken loan wakifanyiwa unfair decision kama hizi kinakuwa ndio kisingizio. Hawa marefa wasituharibie fainali Click to expand... Punguza presha kaka... Timu bora ndio itakayoshinda katika hizi fainali... Mbona bado mapema sana..!
Lizarazu said: Halafu wenyewe wakija Quicken loan wakifanyiwa unfair decision kama hizi kinakuwa ndio kisingizio. Hawa marefa wasituharibie fainali Click to expand... Punguza presha kaka... Timu bora ndio itakayoshinda katika hizi fainali... Mbona bado mapema sana..!
Raimundo JF-Expert Member Joined May 23, 2009 Posts 13,415 Reaction score 12,622 Jun 5, 2017 #2,631 James kapanic kama.
Lizarazu JF-Expert Member Joined Aug 23, 2015 Posts 6,331 Reaction score 7,885 Jun 5, 2017 #2,632 Raimundo said: James kapanic kama. Click to expand... Hata marefa nao wamempanikisha
Lizarazu JF-Expert Member Joined Aug 23, 2015 Posts 6,331 Reaction score 7,885 Jun 5, 2017 #2,633 Wao wakiguswa kidogo tu foul
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,769 Reaction score 288,283 Jun 5, 2017 Thread starter #2,634 It does not look for CAVS.
Mag3 Platinum Member Joined May 31, 2008 Posts 13,580 Reaction score 23,915 Jun 5, 2017 #2,635 Just like I said LeBron is worn out. wampumzishe jamani!
Raimundo JF-Expert Member Joined May 23, 2009 Posts 13,415 Reaction score 12,622 Jun 5, 2017 #2,636 Mag3 said: Just like I said LeBron is worn out. wampumzishe jamani! Click to expand... Endelea kumwombea mkuu.
Mag3 said: Just like I said LeBron is worn out. wampumzishe jamani! Click to expand... Endelea kumwombea mkuu.
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,769 Reaction score 288,283 Jun 5, 2017 Thread starter #2,637 Anahemea masikioni speed ya mchezo naona imekuwa kubwa kwake. Mag3 said: Just like I said LeBron is worn out. wampumzishe jamani! Click to expand...
Anahemea masikioni speed ya mchezo naona imekuwa kubwa kwake. Mag3 said: Just like I said LeBron is worn out. wampumzishe jamani! Click to expand...
twalib ngonyani JF-Expert Member Joined Apr 28, 2017 Posts 249 Reaction score 316 Jun 5, 2017 #2,638 BAK said: Anahemea masikioni speed ya mchezo naona imekuwa kubwa kwake. Click to expand...
Mangungo II JF-Expert Member Joined Jul 6, 2012 Posts 18,173 Reaction score 26,910 Jun 5, 2017 #2,639 Duuuh gemu iko poa
Mag3 Platinum Member Joined May 31, 2008 Posts 13,580 Reaction score 23,915 Jun 5, 2017 #2,640 Raimundo said: Endelea kumwombea mkuu. Click to expand... Leo nasikia kwa mara ya kwanza GSW kubebwa na marefa! Kweli hujafa hujaumbika!
Raimundo said: Endelea kumwombea mkuu. Click to expand... Leo nasikia kwa mara ya kwanza GSW kubebwa na marefa! Kweli hujafa hujaumbika!