Mkuu ongeza masaa 7 kwa maskani ya mtaani kwetu. Kwa mfano hii mechi ya leo ambayo itaanza 9:00pm ET ukiongeza masaa 7 basi kwetu itakuwa 04:00am. Nadhani umenielewa.

Mechi ya kwanza leo ya NBA finals inaanza saa kumi usiku kwa saa za Tanzania, hakikisha tu uko macho! Itaisha kama saa kumi na mbili asubuhi hivi, je upo?