naziuza hizo gari

mahroof

Member
Joined
Jul 9, 2015
Posts
50
Reaction score
63
nina hizo gari nazitoa kwa 1000$ nimepoteza funguo.kwahiyo wazee wa kukata naomba tuwasiliane.gar zote zipo beitbridge.south africa...
karibuni p.m....tukifika vizuri nakufanyia usafiri mpaka tunduma

specifications
1000$
No keys key lost.......
Volvo s40
Key lost
1000$.........
2002
No key
1000$

All 3 units are in Musina AutoWorld...beit bridge south africa
 
Yaani umepoteza funguo na funguo za akiba za gari zote tatu. Yaani ulipoteza kwa gari ya kwanza, ikafuata ya pili ikafuatia gari ya tatu.

Mh, Sounds weird!
 
Yaani umepoteza funguo na funguo za akiba za gari zote tatu. Yaani ulipoteza kwa gari ya kwanza, ikafuata ya pili ikafuatia gari ya tatu.

Mh, Sounds weird!
hapana boss.mi nimfanya biashara tuna yard yetu south africa kwahiyo gar siyo hizo tuu.nimezileta hizo hapa jf sababu zinauzwa kwa offer
 
Jamaa hayupo serious, nimemwambia mapema hadi sasa saa 9 zimepita hajatuma.
Labda kabanwa mahali
Chukua hii suzuki carry kwa milioni 5,
Iko clean as new

Dsm-0744033555.

Kuna gari hadi za milioni 2
 

Attachments

  • IMG-20201219-WA0022.jpg
    39.3 KB · Views: 21
Labda kabanwa mahali
Chukua hii suzuki carry kwa milioni 5,
Iko clean as new

Dsm-0744033555.

Kuna gari hadi za milioni 2
Suzuki carry hiyo imeanza kutumika bongo 2014, ni miaka 6 sasa. Unaiuza mil 5, atayenunua namuonea huruma sana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…