takiribin mwez wa 3 sasa kuna mtu nampenda kutoka moyoni klila cku anaishia kunitext mara hi, gd9t, thinking of u, n.k na me huwa najtahd kujibu text zake kulingana na alichonitext, japo roho inaniuma 7bu nampenda, ndani ya hicho kipindi amekuja kama mara 3 kunisalimia, japo anaishia kupiga story zakawaida na kuondoka, na me n mtoto wa kike inaniwia ngumu kumapproach.............! some time anaua band mara hi my special one, hapo nashindwa kumusoma anakuwa na maana gan?? pale ninapojitahidi kusahau tex hiyo gd9t, najkta kuamua kuvumilia tena na kuwa na mahope, anahtesa sana nafsi yangu.........!
mtoto anataka muhogo apewe asipewe?Kwani what else do u want, kama anakuja kwako mara zote hizo na kama ana kutext na ku express feeling zake ina maana anakupenda. Wewe ndo unashindwa kumalizia kufunga goli. Unasubiri penalt. Shauri zako dk 90 zikiisha utajilaumu.
takiribin mwez wa 3 sasa kuna mtu nampenda kutoka moyoni klila cku anaishia kunitext mara hi, gd9t, thinking of u, n.k na me huwa najtahd kujibu text zake kulingana na alichonitext, japo roho inaniuma 7bu nampenda, ndani ya hicho kipindi amekuja kama mara 3 kunisalimia, japo anaishia kupiga story zakawaida na kuondoka, na me n mtoto wa kike inaniwia ngumu kumapproach.............! some time anaua band mara hi my special one, hapo nashindwa kumusoma anakuwa na maana gan?? pale ninapojitahidi kusahau tex hiyo gd9t, najkta kuamua kuvumilia tena na kuwa na mahope, anahtesa sana nafsi yangu.........!
takiribin mwez wa 3 sasa kuna mtu nampenda kutoka moyoni klila cku anaishia kunitext mara hi, gd9t, thinking of u, n.k na me huwa najtahd kujibu text zake kulingana na alichonitext, japo roho inaniuma 7bu nampenda, ndani ya hicho kipindi amekuja kama mara 3 kunisalimia, japo anaishia kupiga story zakawaida na kuondoka, na me n mtoto wa kike inaniwia ngumu kumapproach.............! some time anaua band mara hi my special one, hapo nashindwa kumusoma anakuwa na maana gan?? pale ninapojitahidi kusahau tex hiyo gd9t, najkta kuamua kuvumilia tena na kuwa na mahope, anahtesa sana nafsi yangu.........!
mtoto anataka muhogo apewe asipewe?