wakuu, nimepoteza simu ya samsung galaxy s advance gt-i9070p, nahisi imeibiwa wakati napanda daladala,
je? naweza kuitrack hata kama mwizi akifanikiwa kuiunlock? au kuset hard reset?, maana hata imei siikumbuki mwanzoni nilikuwa nimeilock, then nikai -register google.
help please me