naweza kusoma kozi gani

MD huezi pata,jaribu envinronment science ni bonge la kozi hutajuta
 
mm apa nikusaidie nn

Sawa mkuu,kama hutojali naomba tu tubadilishane mawazo kuhusu hiyo coz mana ndiyo ninayoipenda so kama utanielekeza mawili matatu nitashukuru.fanya kunipa namba yako ya simu basi.tafadhali mkuu mimi yangu 0714494864
 
Vp mkuu,ni coz nzuri pia hiyo? mi nimeomba hiyo pia ni nimesoma 'cbg' so nauliza kama nikichaguliwa kusoma

yeah,,iko vzr c unajua tena saiv na sie ndo tumegundua mafuta so ina soko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…