Habari za muda wakuu.
Naomba kujuzwa kama naweza kupata privet hostel maeneo ya Kigamboni, utaratibu wa kupata upoje, vyumba vina ukubwa gani na ni gharama kiasi gani.
Habari za muda wakuu.Naomba kujuzwa kama naweza kupata privet hostel maeneo ya kigamboni,utaratibu wa kupata upoje,vyumba vina ukubwa gani na ni gharama kiasi gani.
vipi ulishapata hostel .
kama bado nipigie 0755419798 ipo maeneo ya magogoni karibu na kituo cha basi maduka.
Umeme na maji ya uhakika kodi 50000 kwa kitanda
vipi ulishapata hostel .
kama bado nipigie 0755419798 ipo maeneo ya magogoni karibu na kituo cha basi maduka.
Umeme na maji ya uhakika kodi 50000 kwa kitanda