Nauza Xbox one used bei nafuu

usd 350 sio bei nafuu.. na weka in tshs ndugu.. tufike bei wapenz wa game
 
ukifika laki 4 nichek kaka.. naitamani sema magu kabanaa
 
Kwan eBay bei gani. Tuanzie hapo ili tushushane
Angalia mwenyewe halafu utalipia kodi Tra bandari we nenda ebay hizi ni Enzi za hapa kazi tu wakati mimi nakupa 2 cd free of your choice
 
hivi ina manufaa gani hiyo? siku hizi nanunua kitu chenye manufaa tu.... sitaki shari
 
Kaka 0786371108 naitamani hio kitu ila laki saba sina. Kama bei inpoa tuongee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…