Nauza wireless HEADPHONE-SENNHEISER-HDR-130

Nommy

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2015
Posts
448
Reaction score
27
ni mpya na bei sawa na bure

attachment / pictures hizo hapo chini

nicheki 0767191251
 

Attachments

  • IMG-20150225-WA0040.jpg
    40.9 KB · Views: 247
Ni cheki kwa no hyo
 
Ah wabongo bwana.... basi ungeweka namba ya simu tu hiyo picha ya headphone usingeweka kama huoni umuhimu wa kuweka na bei.......
 
oooow hyo imeshachukuliwa sasa hvi wapendwa ntatuma sample nyingine .....jion njema
 
Ah wabongo bwana.... basi ungeweka namba ya simu tu hiyo picha ya headphone usingeweka kama huoni umuhimu wa kuweka na bei.......
nimempigia kasema anauza elfu kumi
 
Thanks mkuu kwa kutusaidia kupata bei....
 
hahahahaha we kiboko hope unacheti cha uongo umesomea
 
sorry ilishachukuliwa tyri nilikuwa nataka post bei mteja kawah kachukua sikuona umuhim tena ..but soon ntapost nyingine na bei :smiling:
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…