Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,828
- 11,532
Yap! Maana unaweza kuta vitu vyenyewe kumbe hata bure ungejishauri kuchukua..Weka picha mkuu
Habari wandugu. Hali ngumu. Nauza kitanda mninga, jiko la gas, madiaba ya maji, godoro, meza kubwa, kiti cha mninga, stuli, mashuka baadhi na mapazia vyote kwa laki 2. Vitu vipo mbezi beach. Namba yangu 0687211298
[emoji23] [emoji23] [emoji23]mkuu nakuheshimu umefanya nicheke sanaYap! Maana unaweza kuta vitu vyenyewe kumbe hata bure ungejishauri kuchukua..
Uko tayari kuandikisha police?Habari wandugu. Hali ngumu. Nauza kitanda mninga, jiko la gas, madiaba ya maji, godoro, meza kubwa, kiti cha mninga, stuli, mashuka baadhi na mapazia vyote kwa laki 2. Vitu vipo mbezi beach. Namba yangu 0687211298
Hakuna tatizo sababu ni vyanguUko tayari kuandikisha police?
mkuu ina maana we pm hujui kufungua au? mbona nimekupm ila upo kimyaa? fanya biashar kam hautaki acha.Hakuna tatizo sababu ni vyangu
Poa ntakucheki mkuu!Hakuna tatizo sababu ni vyangu
We si kwa sababu una pokea mshahara!Wengi tunaisoma namba ila si kwa namna hii, pole yako mkuu!
Yap! Maana unaweza kuta vitu vyenyewe kumbe hata bure ungejishauri kuchukua..