Nauza viwanja Ununio

Ina maana kwa sqr meter 1 = 69,767/=?!

Sasa ukirudi mjini kidogo labda tuseme mbezi beach ungeuza shs. ngapi?

Kama nilivyosema katika maelezo yangu ya awali. Location ya kiwanja ina umuhimu mkubwa sana kwenye bei. Unaweza ukaenda Mbagala au hata Sinza au Kijitonyama, bado ukapata kiwanja cha bei ya juu sana kuliko hata mtu anavyoweza kuwazia. Viwanja ambavyo viko ktk strategic locations bei zake siku zote huwa juu pasi kujali kiko suburb ipi. Ila ukiacha Mbezi Beach (Nako sio kote), kwenye Barabara ya Bagamoyo sehemu nyingine ambayo imepangwa na kupimwa vizuri ni maeneo hayo ya Ununio ambapo mitaa yake kama ikiendelezwa kulingana na Master plan ilivyo inaeleweka. Lakini pia haina tabia ya kutengeneza madimbwi makubwa nyakati za mvua!
 
we utakua dalali njaa tu siwapendi nyie watu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…