Nina viwanja Kisemvule 15 Km kutoka Mbagala rangi tatu. Nauza ukubwa 100 kwa 50 futi bei 6.5ml, umeme upo maji yapo. Eneo ni tambarare na mchanga haununui.
Kuna kingine vikindu kina matofali 2000. Kwa mwenye kuhitaji 0716671919, napatikana Mbagala
Asante