Genchi Member Joined Aug 19, 2014 Posts 95 Reaction score 48 Jan 12, 2017 #1 Viwanja vipo kilwa road mwandege nyuma ya kiwanda cha bakhresa, mji unaitwa chatembo, Ukubwa ft 50×50, Bei ni mil 2 tu, 0683775566, 0714775566 Wote mnakaribishwa
Viwanja vipo kilwa road mwandege nyuma ya kiwanda cha bakhresa, mji unaitwa chatembo, Ukubwa ft 50×50, Bei ni mil 2 tu, 0683775566, 0714775566 Wote mnakaribishwa
O option JF-Expert Member Joined Jan 15, 2013 Posts 2,029 Reaction score 1,501 Jan 12, 2017 #2 Vimepimwa?
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 62,564 Reaction score 94,307 Jan 12, 2017 #3 Yaani Mtu Utoke Town uende Nje ya Mji kwenda Kununua kiwanja cha mita 14 kwa mita 14? Nje ya Mji Hamna Hamna ni Eka yaani mita 70 kwa 70.
Yaani Mtu Utoke Town uende Nje ya Mji kwenda Kununua kiwanja cha mita 14 kwa mita 14? Nje ya Mji Hamna Hamna ni Eka yaani mita 70 kwa 70.