Na ni Bora ulivyoacha ukorofiNingekua mkorofi kama zamani ningeweka hapa bei za dukani
Mwambie akiuza kwa bei Hizo aje nimwongeze 200kNingekua mkorofi kama zamani ningeweka hapa bei za dukani
Eti jiko plate 2 200k[emoji23][emoji23]Na ni Bora ulivyoacha ukorofi
Weka ndugu Kwa mapenzi mema tu ili tulinganisheNingekua mkorofi kama zamani ningeweka hapa bei za dukani
Nitaharibu uzi wa jamaa...ila utafute hata uzi wa mfaume utaona beiWeka ndugu Kwa mapenzi mema tu ili tulinganishe
Dalali uyu