DANIEL MWITA
Senior Member
- Sep 16, 2012
- 118
- 42
bado vipoKaribuni wadau
Hahah sasa swali gani hili mangiWw ndio yule swahiba wake zero IQ anaeuza vitu vya ndani ili akacheze Forex?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu twambie ukweli kabisa isije kuwa nawewe unataka kujilipua kama yule Jamaaa wa tukio la Ugaidi huko Nairobi. Wiki moja iliyopita kabla ya kujilipua aliweka tangazo la kuuza vyombo vyake vyote mtandaoni kama hivi. Potezea MkuuSofa na mito yake - 600,000
Fridge - 400,000
MAONGEZI YAPO
NB: vitu vyote bado vipya
Napatikana Tabata reli karibu na chuo cha st. marys
Mawasiliano: 0769621797
Nina TV TCL smart inch 32 nauzaHauna tv mkuu?
Bei??Nina TV TCL smart inch 32 nauza
450,000 Tsh, imetumika miezi kama miwili tu, kilakitu kipo fresh had box lakeBei??
450,000 Tsh, imetumika miezi kama miwili tu, kilakitu kipo fresh had box lake
Nyie watu msimdhihaki mtu anayeuza vitu vya ndani. Wakagi mwingine si kwa kupenda ni vyuma vimekaza anatafuta pa kuanzia, au ameuguza au mengine kama kuhamia sehemu nyingine nk. Ushauri tu!!Sofa na mito yake - 600,000
Fridge - 400,000
MAONGEZI YAPO
NB: vitu vyote bado vipya
Napatikana Tabata reli karibu na chuo cha st. marys
Mawasiliano: 0769621797
hailipi kakaChukua 400,000 hizo sofa