Nauza vifaa vya kufanyia biashara ya chips

Mac Ali

Member
Joined
Jun 23, 2024
Posts
12
Reaction score
22
Habari wana JF

Nauza vifaaa vya kufanyia biashara ya chips pamoja na locationya kufanyia kazi kama ifuatavyo.

1. Kabati la aluminium ngazi 3
2. Jiko la gesi
3. Kalai
4. Jiko la kuchomea mishikaki
5. Jiko la kuweka malanda
6. Viti vya plastick
7. Mtungi una gesi kidogo yakuanzia

Vifaaa vingine ntampatia kama ofaa baada ya kufikia muafaka vifaa ivo kuna vyombo, mabeseni, sahani, flampen, mabeseni madogo, chujio ya mafuta, taaa kubwa, jalo kubwa, mfagio, vifaaa viko kinondoni Manyanya.

Kwa maelezo nicheki PM.(0620297013)


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…