Nauza uyoga mkavu na mbichi

queen B

Senior Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
151
Reaction score
97
Habari wakuu uyoga mkavu na mbichi unapatika karibu sana
 
naona wateja wanazidi kumiminika tu queen b. tujifunze kutangaza kwa weredi lau umshawishi hata asiye na mpango wa kununua lau amwelekeze mwenzake!
*tangazo halitaji ofisi
*mawasiliano
*bei yako
*gharama za usafiri kwa (nje ya dar)
*namna ya matumizi/kuhifadhi kama itahitajia kuepuka hasara.
 
Uko Bunju, wateja wako unawapelekea, hujataja bei huo uyoga, ama garama za kumpelekea mteja kwake. Mimi nahitaji niletee mbezi Luis, ila unahitaji kuwa na mawasiliano.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…