Nauza used Samsung Galaxy Note 1 bei nafuu

MBNA Haukoo serious badala uweke picha unaweka screenshot kwani nani haijui note1 ilivo
Unataka uione ilivyopauka na kubanduka rangi? Uzuri wa screenshot hata kama kioo kimepasuka pasuka hujui

Hapo ukiendelea kudai picha atakwambia ni pm,huko atakwambia mkuu kioo kimepasuka kidogo ila sio sana
 
MBNA Haukoo serious badala uweke picha unaweka screenshot kwani nani haijui note1 ilivo
Mkuu niwie radhi simu niliyotarajia kuitumia kuipiga picha simu hii ninayoiuza sikuipata jamaa aliondoka nayo hivyo picha sikuwezi kupata tena
Ushauri. Unaweza google Samsung gt n7000 pics and specs utaiona kama hautajali.
Sorry kwa mapungufu haya kwa wote waliokuwa interested
 
Unataka uione ilivyopauka na kubanduka rangi? Uzuri wa screenshot hata kama kioo kimepasuka pasuka hujui

Hapo ukiendelea kudai picha atakwambia ni pm,huko atakwambia mkuu kioo kimepasuka kidogo ila sio sana
Simu hii imechubuka kidogo sehem zenye Rangi ya silver tu. Haijapasuka kioo wala haina tatizo lolote. Suala la kwenda pm ni katika majadiliano ya bei kama mteja atahitaji privacy katika ufanyaji wa hii biashara lakini zaidi ya hapo yupo huru kufanya mazungumzo hadharani kwani hii ni mali yangu halali na hakuna udanganyifu katika hali Ya simu ilivyo.
 
Bro unaposema unauza kitu lazma uweke pic halisi ya simu, note 1 inajulikana na wengi inatakiwa ukiwa unapost weka na pic halisi ili Hata Mteja aridhike na muonekano halisi si kwamba mnakubaliana at the end unakuta condition ya simu hairidhishi, na si kwamba hatuijui note 1
 
Weka picha halisi ya simu.
 
Nipe nusu bei
 
Hapo upande wa charge samsung huwa ni vimeo kabisa .
Tecno ndo wanajuwa maana ya charge, J8 yangu nikiichaji ikawa full ni siku nzima hapo internet inatumika muda wote
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…