Una kapicha angalau mnunuzi aridhike.......?
Nauza tv aina hitachi 21 inch,bei 150,000/= nimetumia kwa miezi 8!ni pm if u're interested.Nipo dar
Tv nzuri na guarantee not warranty njoo mlimani city!
Hv bado kuna watu wanatumia tv chogo?
ngoja nisikoment maana ataona na haribu biashara yake ila hiyo bei yako kariakoo nanunua tv mbili
kama ni chogo umechemsha, pale kariakoo oposite na dcc unapata mpyaa na guarantee kwa laki na nusu, bora upunguze bei ndugu