aliyechoka
Member
- Mar 16, 2012
- 23
- 4
Haina michubuko hata kidogoTv naona ipo poa... inavutia/ haina michubuko.
[emoji23]Tv naona ipo poa... inavutia/ haina michubuko.
Weka picha ya tv jomba sio boxHaina michubuko hata kidogo
Weka picha ya tv jomba sio box
mkuu kila nikijaribu kuattach picha inakataa pengine labda uwezo wa cm yangu ninmdgo au la ..lakini kama uko interested nitumie namba nikutumie picha watsap...
Mkuu nimejaribu mara kibao kuattach picha lakin inagoma kuapload sijui ttz ni nn..kama uko intersted mkuu nipe nikutumie watsapWeka picha ya tv jomba sio box
Picha imegoma kuwa uploaded sijui ttz ni kitu gan mkuu may be uwezo wa cm yangu ni mdg
Haina michubuko hata kidogo
Picha inagoma kuwa uploaded sijui tatizo nn ..kama uko intersted nitumie namba nikutumie watsapAta mm naona haina michubuko [emoji23][emoji23]. Jiongeze weka picha za televisheni sio picha za makaratasi
nakupa laki 2 na lg yngu inch 32 ina boxx lakeView attachment 1314641
Naheshimu mawazo yako ila lengo la kuweka hili tangazo nina shida ya pesa ndo maana nauza tv yangu mkuu.
Nipe laki sita mkuu nikuachieKula laki 4